Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    Mi nadhani wee Michuzi, umekula dili ya Kutangaza hawa jamaa, watakuwa wamekulipa vizuri, maana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    Acha roho ya kwa nini we anon! Michuzi anamrusha mtu yoyote hana ubaguzi, hata wewe ukimtumia zile picha zako ulizopiga enzi zile upo kijijini kwenu pale chini ya mgomba ukiwa umepiga bugaluu, raizoni na miwani ya mbao atazirusha tu! kama huamini mtumie!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...