uongo mbaya mikonozzzz ilipigwa sana sauzi. juu nanihii akiwa na mwimbaji yvonne chakachaka na mai hazbendi wake, na chini na mtangazji wa studio 5. hawa nyota kwao ni wakarimu na wanapenda wabongo ile mbaya.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2009

    mh sikuwezi balozi...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2009

    Kaka, kama noma na iwe noma - kaka.
    Studio 5, mie nipo singo tayari kusikiliza amri zake - usinibanie kaka.

    Barua pepe yatosha - kaka

    Mdau - Shimo la Udongo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2009

    hehee mzee hicho kiwiko/elbow cha huyo mtangazaji mbona kinaenda pabaya huko wangu...????!!!!
    Mdau
    MN

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2009

    mmependezeana!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2009

    Mh Kweli wanapenda wabongo kwa Style hiyo ya chini Mkono kwenye bega Kipepsi kwenye Mguu ahahhahah Natania tu michuzi. Nasie Wabongo tunawapenda Umewazibitishia hapo Michuzi! KiminyilongondaNg'esindo Si. TIMU Za Ulaya walipokuwa wanahitaji Big Name Agency wangu akawatafutia mie kutokana na jina.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2009

    Hapo poa sana mkuuu kuanzia milk na masmaili mmim gwaaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2009

    na huyo wa chini maana huo mkono mi hoi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 29, 2009

    Mithupu Unatisha!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 29, 2009

    Huyo dodo hicho kifua...mhhhhhhh mai mai mai....wvu sina ila roho inauma mimi....

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 29, 2009

    hizo nyonyo michuzi mmmmh!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 29, 2009

    MKUU WA NANIHII NA LIBENEKE IN GENERAL HICHO KIFUA CHA HUYO MTANGAZAJI WA STUDIO 5 KIPO BOMBA SANA INAONEKANA ANAWEZA SANA KUTULIZA MPIRA KIFUANI..LOL..

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 29, 2009

    ...afu mkao wenu ni kama vile umemkalia na umemwekea miguu juu yake mana yuko chini-chini ivi

    akapata ilo pozi la kiwikozzz karibu na "kunako"

    hahahahahaaa,asante kutuburudisha

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 29, 2009

    yani nyie wanaume lazima mfe tu..kwa mwendo huo apo juu??

    ata balozi utakufa kifo cha mende,toto liko freeee adi mkeo wa ndoa unamsahau

    mwanamke kifua,hip...bwana

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 29, 2009

    hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    michuzi una balaa sana,yani hii picha ulipanga kabisaaa kuipiga baada ya kuona duh mtu mzima uzalendo umekushinda!!WHICH IS NATURAL FOR A REAL MAN au vipi????

    makusudi mazima tuone majaaliwa ya muumba kwa baby girl uyo

    ofkoz stress zimeniisha baada ya raha hiyo apo,ingawa umefaudu mwenyewe iyo ngozi mwororo

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 29, 2009

    mkeo hana wivu wee nanihii???

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 29, 2009

    watoto wa kusini mwa Africa ni wakarimu kwa ujumla,hata smiles zao, hii inatokana na different traditional, watanielewa wabeba mabox.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 29, 2009

    ..rosie motene, mwanangu..kumbe Channel Mkoba?!..mwanamke nyonyo, babu, mengine majaaliwa!!.. mee adabu , best!..hapo, ka mzee mzima Zuma asemavyo 'tukupeni tu u'mshini wako' uzitapakaze njugu..maana bora aibu kuliko fedheha, mwanawane!..

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 29, 2009

    Aah! huyu mtoto kweli ana kifua safi,,hongera demu ni mungu kakupa kifua kizuli, kwa mechi unaweza kuchukua kombe.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 29, 2009

    Ebana Bro Michu unatisha,

    Huyu dada si ndo yule anatangazaga na Gaitano?......lol!habari kubwa.

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 30, 2009

    Hivi Mrs nanihii huwa anangalaia hii blogu? Naona atakuwa anakuvutia pumzi kwani mikonozz imezidi sasa, inabidi upunguze mikonozz kwani isiwe anaumia roho ikaleta bashasha baadae. Naona mikonozz mingi wadada wazuri.
    Usipost hii ni too personal
    Mdau USA

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 30, 2009

    wewe Anko michuzi wewe,,,hayo maembe yameiva kabisa kazi kwelikweli,ila mmependeza kweli.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 30, 2009

    Umezidi mithupu kupiga mikonoz totoz za watu. Anza kupunguza sasa!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 30, 2009

    Kaka Misupu upo juu juu juu zaidi

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 02, 2009

    Haaa! Kumbe Madem Rita alikuwa anaongelea hii picha aliposema uache kukaa na wanawake wenye matiti makubwa :)

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 03, 2009

    yani ni hii picha rita alikua anaongelea,na ingine ipo ivi mdada wa arusha sijui moshi ivi alikuja toka USA ana ti-tizzz balaaa

    na wengine weengi tu!!ila rita ana wivu sana,aache watu tupate raha na kupunguza stress

    burudiko izi adi raha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...