Mbunge wa Singida Mjini Mohammed Dewji akijichanganya na wananchi jimboni kwake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 46 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2009

    is he single?

    ReplyDelete
  2. nampenda sana mbunge huyu huwa anajichanganya sana na watu.......big up Mo....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2009

    ndo nini iki sasa???

    aaaghhhhhhhhh

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2009

    kinauma kuona kwamba bongo bado kuna siasa za uongo wanasiasa feki wafanyabiashara wamepata jina kutokana na baba zao, wanajisogeza kwa wananchi karibu uchaguzi inauma sana kuona kwamba maisha ya wananchi yako mikononi mwa watu ambao hawana machungu yoyote na hiyo jamii hawajui hata shida zinawakabiri.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2009

    next president of united republic of tanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2009

    inapendeza sana au ndio wale wale wasijulikane kama mafisadi ?????

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2009

    Date na kaka kama huyu ni raha tupu. Hta mume wangu namuacha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. He is hot

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2009

    Tarehe Sat Jun 27, 02:33:00 PM, kuna watu wnajifanya wana uchungu na nchi na hawasaidii lolote. Mtu kama Zitto kelele tu bungeni nenda jimboni kwake ukaona maana ya umasikini. MO amesaidia watu wengi sana kwa kuanzisha miradi mbali mbali. MO siyo mtoaji hela sana yeye anapenda kuweka misingi ya maendeleo.

    MO, 2015

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2009

    We mdau wa 02:43pm unanitisha. Nitahamia Afghanistan...

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 27, 2009

    no comment.
    mdau mzawa

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 27, 2009

    Mwili wake ulivyoji-balance.inaonesha dhahiri kuwa si fisadi.miili ya kina obama hiyo.
    sio vitambi bwelele kama baadhi wa wakubwa zetu flani

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 27, 2009

    we acha ushamba president muhindi? labda sio tz

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 27, 2009

    We unaedai eti president Muhindi una maana gani?????????kama Muhindi kazaliwa Tanzania ni Muhindi au Mtanzania??????????
    ubaguzi umekujaa kupita kiasi

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 27, 2009

    Aliyesema Tanzania ni nchi ya watu weusi ???????

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 27, 2009

    we m-baguzi
    kwani rais hawez kua muhindi?
    mbona wazungu hawajam-bagua Obama
    wamempa nchi

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 28, 2009

    Iwe iyaho omweshungo kwani iwe orumuzani anga omwanasiyasa? Ija wombere omwata kama kweli wewe unajichanganya

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 28, 2009

    nyie wote negative achani upuuzi wenu. wengine mnajisingizia mna uchungu kama huyo mdau wa june 27, 2.33pm. uchungu ulionao unaletwa na chuki. punguza chuki na you will be a happy person na mungu atakujalia maisha marefu. acha kujipa pressure za bure. huyo kaka anafanya kazi nzuri jimboni kwake na anakubalika. who cares kama ni mhindi au kabila lingine yeye ni mtanzania na anaweza kuwa raisi kama watanzania wengine. MUNGU MUWEKE MWALIMU NYERERE MAHALI PEMA PEPONI kwasababu hakuwa na ubaguzi wa rangi.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 28, 2009

    bongo jamani sio nchi ya watu weusi/wabantu peke yao, kwanini nyie wabaguzi msiende shule ili muelimike mjue ukweli, jamaa yenu mkapa vibabu vyake vimehamia bongo 1840s baada ya kufukuzwa na shaka toka sauzi, wamanga walkuwepo pwani ya bongo kabla ya wangoni. na ukitazama wazanaki wanahusiana sana na tutsi,mbulu,kikuyu,turkana,borana,somali n.k. (nilotes) msipoacha huu ujinga tutakuwa kama vile dr congo,rwanda,burundi,uganda,kenya n.k. hiyo mipaka mnayojivunia imewekwa na wazungu ambao walituuza kama vile bidhaa.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 28, 2009

    damn! huyu kaka mbona bonge la hendsam!anatoka na weusi? michuzi unaonaje unisetie date nae,cheki jinzi imekaa mahali pake haswaaa, na huo mwili wa kimichezo(athletic body)aisee,I love you mo, you wanna get 2gether with me, usinibague mie mbongo mwenzio au vipi,

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 28, 2009

    Mtoa maoni unayefikiria uhindi wa Dewji ujue watu wa aina yako wamevuruga nchi mbali mbali, mfano ujereumani ilikuwa majivu kwa ajili ya watu wa aina yako. Nakuomba uchukue ubaguzi wako halafu uusukumizie kwenye sehemu inayofaa ubaguzi ndani yako.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 28, 2009

    He HOT for real ;)

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 28, 2009

    Daaaaaaaamn!,

    Is he single?

    Look at that body!..na hiyo jeans ilivokaa vizuri!, sijawahi ona mbunge kavaa jeans kama hivi na ikapendeza hivo.

    wow!, just wow!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 28, 2009

    Wadau,

    Kwa nini hamtaki kukubali suala la rangi! Muulize huyo huyo Dewji nyumbani kwao wangapi wameoana na weusi? Ukipata jibu ndiyo utajua maji na mafuta hayachanganyiki.

    Muulize katika jamii yao ya Wahindi yeye ni daraja/caste gani? Ndiyo utajua ubaguzi aliozaliwa na kukua nao.

    Vipi, huyo Mbunge wa Singida anaongea Kinyiramba au Kinyaturu?

    Eti anajichanganya? Stop this clichè. Anajichanganya nini? Anacheza mchezo wa propaganda unaoitwa glittering generalities. Nenda google halafu search maana ya mchezo huo wa glittering generalities.

    Kuna Waafrika India kama walivyo Ulaya, Marekani, Canada, Visiwa vya Karibia na Amerika ya Kusini. Umewahi kumuona Mbunge wa Kiafrika kwenye Bunge la India? Au Muafrika yeyote kwenye jambo lolote India?

    Obama siyo kipimo cha kukatalia ubaguzi. Siri ya Obama kufika alipofika wanaijua wenyewe. Kwa nini iwe yeye na siyo wanaharakati weusi ambao wamesuffer machungu ya Marekani kwa vizazi kwa vizazi?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 28, 2009

    "he is single?" bla blaa ..washamba wakubwa,umalaya wenu ndo unawapa fikra potofu. Mlishawahi kuona muhindi ameoa/ameolewa na mbongo? jiulize ni kwa nini? wahindi ni wabaguzi kuliko jamii yoyote hapa duniani.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 28, 2009

    Aliyekuambia Tanzania ni nchi ya watu weusi tu ni nani jamani. Sisi tulio huku marekani na ulaya tunatofauti sana na rangi ya mnigeria, mghana, na wacameroon n hata waganda tumechanganyana na slave . Wengine ni wazungu wa Iringa . sasa hata nyerere ukimcheki sana hiyo nchi sio yake basi maana hata accent yake inaonekana alikuwa wsio wa hapo. ALIMRADI MTU ANATENDA KAZI YAKE NA AMEZALIWA TANZANIA SOMA KATIBA YA TANZANIA . KWANZA SISI HATUNA UBAGUZI KABISAAA WEWE HAPO JUU UNAHITAJI MSAADA. CONGRESS YA MAREKANI NA WAMAREKANI WAMEMWACHIA OBAMA OFFICE ITAKUWA WEWE PREJUDICE MKUBWA WEWE.KUUOA NI MAMBO YA CULTURE SIO URAISI.WANGAPI WANAOA WANAWAKE WANAOLAZIMISHWA.WEWE HUTAKI KOUOA MWANAMKE WA KWENU ATAKAEKUPIKIA UGALI MZURI? MEN STOP.
    HAPA SIO PAHALA PAKE . YOU ARE A RACIST AND A PREJUDICE AND YOU NEEED TO GO TO HELL

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 28, 2009

    mara kumi ya huyu anacheza na watoto.kuliko wengine ambao hawajawahi kukanyaga kijijini kwao , kudate wanafunzi . mwacheni the next president of Tanzania

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 28, 2009

    Jamani wamarekani wenyewe. Wanahisi raisi atakaefuatia muhindi BOBBY JINDAL governor of LOUISIAN. DEWJI ni anastahili kuwa raisi wa nchi mimi binafsi nitamfagilia sio kawaida kwanza ninaenda kuprint T shirts nakuja nazo tanzania zimeandikwa DEWJI for president naanzisha campain ya chinichini. Tumejifunza huku USA . Halafu wewe mbaguzi hapo juu ujiue mapema.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 28, 2009

    Watanzania wenzangu ,
    Hakuna haja ya matusi. Mo ni kama Michael Jackson mwisho wake. Waliokuwa hawamjui waachane tu wataona ukweli. Kwanza aache maunga yake na kujichoma masindano.Hadi leo anaishi na baba yake kwanini unajua? Mutajaza wenyewe uongozi sasa ni fedha sio chengine. Kazi kwenu bwana anajichanganya?

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 29, 2009

    Nyie wanawake hebu jiheshimuni, msituvunjie heshima zetu, eti he is hot, naweza hata kumuacha mume wangu.. pambaf... umalaya tu.. mtatembea na wangapi walio wazuri...?? dunia imejaa wazuri kila kona.. kwanini ulimkubali mumeo?? si ungesubiri ukaolewe na hao wazuri unaaodai, ndio maana mnakufa kwa ukimwi...na kuchezewa na wanaume wanaowabadili kama nguo... jiheshimu utaheshimika na kuhifadhika...mbaya, mzuri wote hawajajiumba.. kabla ya kuanza kushoboka, hebu nenda kwenye kioo, uone atakayekufata nani??

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 29, 2009

    mdau 7:10pm....hahahahahaaaaa

    dah umenifanya niwaze mbali sana

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 29, 2009

    khaaa wee mdau mbona MUWAKILISHI wa nchi ya jamhuri ya muungano wa tanzania aliibeba bendera ya tanzania kumaanisha ndo watanzania

    alikua muhindi?miss tanzania

    ni ayo

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 29, 2009

    heee mbona nyie wasichana mna mawazo ya kifedhuli kuhusu ilo jeans lake???

    hahahahaaaaa

    ameoa ili kuonja ruksaaaa,hakuna rijali atajimudu mbele ya mdada wa kufa mtu

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 29, 2009

    annon 10:28am umenena aswa
    na umemaliza yote

    asante

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 29, 2009

    jamani this Guy deserve the position that he has ... honestly atafika mbali kwa kweli hana makuu !! keep it up maneno machache vitendo tu...well done kijana

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 29, 2009

    Sina ugomvi na nae, sina chuki na yeyote. lakini ukweli ni kwamba jamii ya wahindi imejitenga sana na watazania wengine wenye ngozi nyeusi.

    Napata kinyaa ninapoona wanasiasa wenye ngozi nyeupe kama hawa au wanasiasa waswahili wenzetu lakini wenye ubaguzi kwa sababu tu ya rangi au edha zao wanapowafanya wananchi wengine maskini kuwa kama daraja la kupandia na kufanikisha mambo yao. Mfano wanatumia mbinu ya kujichanganya na maskini mara moja moja na kupiga nao picha kisha kuzitumia kwenye vyombo vya habari ili kujifanya wako karibu na watu hao, kujifanya kuwatwisha ndoo za maji wanawake wanaohangaika kila siku na kutafuta maji kwenye visima vya ovyo ovyo na kupiga nao picha za kutumia kwenye kampeni zao. wanadanganya wananchi wa hali ya chini kwa kuanzisha mashindano ya eti kombe la mbuzi, au kombe la mheshimiwa fulani ambalo halina faida yoyote katika jitihada za kumkomboa mwananchi kutoka kwenye umasikini wake.

    Hivi kweli mwanasiasa anapoweka kombe la mbuzi (huyu mbuzi mnyama anaelia meeeeeee)hata timu nzima ya watu 11 watamgawanaje? Lakini hapo yeye anakuwa amejipatia jina kwa watu hao na kujijenga kisiasa.

    Wanasiasa jamani oneni aibu mbele ya Mungu wenu na mbele ya binadamu wenzenu. Nasi wananchi tuamkeni Jamani. Michuzi sema nao baba.

    Narudia sina chuki na mtu mie, sina ugomvi na mtu kwa sababu ya rangi yake aliyopewa na Mungu. Lakini nakiri nina chuki kwa wale wanasiasa wote wanaotufanya sisi wananchi wa kawaida kama wanasesere au vizuu!

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 29, 2009

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni - MashaAllaah anapendeza

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 29, 2009

    Anon

    "Tarehe Sun Jun 28, 04:22:00 PM,

    Unasema:

    "Jamani wamarekani wenyewe. Wanahisi raisi atakaefuatia muhindi BOBBY JINDAL governor of LOUISIAN."

    Na India next Prime Minister atakuwa Mtaliano Sonia Gandhi!

    Itawezekana?

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 30, 2009

    Hivi mnauliza anajua Kinyaturu au Kinyiramba, je hamsemi kama anajua Kichaga au kigogo kwani Singida Mjini kunakaa watu wa aina mbalimbali, kama huamini njoo jimboni kwake uone maendeleo aliyofanya kila kata katoa msaada wa kueleweka wengine wabunge wenu hata kata zao hawazijui majina toka wapate kura hawajaenda na kwa ujinga wenu bado mtawachagua kaeni na ubaguzi wenu muendelee kabaki wasio na maendeleo

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 30, 2009

    wanawake wako very attractive to powerful men. huyo kaka is very hot. tunahitaji wanaume waaina hiyo . kaka kama huyo utamnyima nini unashughulika nae. Nani anataka mijitu yenye sura mbaya na vitambi,. Huo ni mfano wa mwanaume anaesubiriwa chumbani . Sio mijitu kutwa nzima keleeeeee vitambi nani anataka kufa na heart attach????? . MKAE HUKOHUKO NA VITAMBI VYENU NA SHERIA ZISIZOISHA.

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 30, 2009

    yaani wewe kaka unakosa opportunity hebu gombania uraisi uone tutakavyokufagilia. beaty sales. YOU are VERY HANDSOME MY GOOOOOOOD Wanaume wengine hamjisikii vibaya????????????????????????????

    ReplyDelete
  41. AnonymousJuly 01, 2009

    Duh! Mbona haters wengi sana humu? Kama jamaa ana asili ya India so what? Kwani jimbo lake lipo India? Mi navyofahamu ni kwamba huyu jamaa ni Mtanzanania, tena ni mbunge! Kama vigezo unavyo kikatiba, basi acha kelele nenda kagombee na wewe haujakatazwa!

    ReplyDelete
  42. AnonymousJuly 01, 2009

    nini mnachukia watu weupe..mbona ubaguzi upo africa sio kwa watu weupe maana marekani raisi ni mweusi na nchi ni ya watu weupe..ni nadra sana kuona africa rais si mweupe ...na kwa mujibu ya bendera ya tanzania kuna rangi nyeusi sijui inamaana gani hiii kama si nchi ya watu weusi?na la mwisho binaadamu wa mwanzo adam alikuwa muarabu maana alishushwa yemen!!!ADEN

    ReplyDelete
  43. AnonymousJuly 02, 2009

    Hongera Mo, mimi ni mtu wa singida, Nimepata habari kwamba umewekeza billioni 1 na nusu kwenye jimbo lako, hongera sana. Sisi watu wa singida tumefurahi kuwa na mbunge makini kama wewe. Kwa wale ambao wanasema wewe ni muhindi hawana maana, hawajui kwamba we umezaliwa singida, babu yako amezaliwa na kuzikwa singida. Tangu uhuru, singida haijawahi kupata maendeleo kama sasa. Hongera MO. Keep it up. If only people knew how much you are loved in Singida.

    ReplyDelete
  44. AnonymousJuly 02, 2009

    Kwani niwaape siri? Mo anajua kinyaturu!!! Huwa anawahutubia watu wake kinyaturu. Sijawahi kumona mtu ambaye anawapenda watu wake kama MO. Kuthibitisha hilo, Mo is a bussy man. It is impossible to meet him. Lakini mpelekee message kwamba unataka kushirikiana naye kwenye maendeleo ya singida. Hapo Hapo atakuona. Hii ni zhaher kwamba ni MTU WA WATU

    ReplyDelete
  45. AnonymousJuly 02, 2009

    Na swali? Mbunge gani ana 6 Pack?
    Jibu ni MO and MO only. You r HOT man

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...