mwandishi habari mwandamizi anayeishi washington DC mobhare matinyi akibadilishana mawazo na hasheem thabeet, mdau ambaye kesho anatarajiwa kuchaguliwa katika NBA Draft 2009 na kujipatia timu ya kucheza mpira wa kikapu wa kulipwa. Globu ya Jamii inamtakia kila la heri Hasheem katika hatua hiyo ambayo ni ya kihistoria

Duuuuuuuuuuuuh, Huyu jamaa tall kweli kweli!! Utadhania mshikaji mwingine mbilikimooz!
ReplyDeletealow michuzi naomba uwatundikie wabongo hii attachment NBA wanavyomfagilia hasheem kabla ya draft pamoja na Tanzania kwa ujumla
ReplyDeletehttp://www.nba.com/video/draft/
Mungu akusaidie mdogo wangu nenda kakazane huko wala sifa na umashuhuri usikubadilishe.
ReplyDeleteTwajua Hasheem ndani ya NBA 4 Sho
ReplyDeleteNdani ya MEMPHIS TEAM
Big Up Hasheem
ha, ha, ni ulefu tu??
ReplyDeleteduh jamaa ananikumbusha enzi zile za katuni ya ustake ncheke!
ReplyDelete