
nanihii akiwa na mpiganaji athumani hamisi ambaye anatibiwa katika hospitali ya netcare rehabilitation centre hapa johannesburg kwa takriban miezi minane sasa kufuatia ajali ya gari aliyoipata kibiti wilayani rufiji mwishoni mwa mwaka jana.
hivi sasa mpiganaji huyu anaendelea vyema na matibabu ambayo kwa sasa ni ya mazoezi ya maungo ambayo yemapooza ama 'mama cheza' ambapo taratibu maungo yake yanapata mazoezi na kuanza kufanya kazi. hivi sasa, tofauti na alipopelekwa hapo mwanzo anaweza kutumia mikono yake na anatembea kwa hicho kiti chenye magurudumu kinachotumia nguvu za betri.
athumani anatoa salamu zake kwa wote wanaoendelea kumtakia afya njema na ameshukuru sana serikali kwa msaada wa matibabu anayoyapata. anasema panapo majaaliwa atarejea nyumbani hivi karibuni

mpiganaji athumani hamisi akipiga stori na mustafa hassanali ambaye amemtembelea leo akiwa na wadau humphrey wa TBC (shoto) hamisi (kati) na mdau deo mtui (pili shoto) liyepo hapo kumuuguza mdau franco mtui aliyeumia katika ajali hivi karibuni

mpiganaji hamisi athumani akiwa na mzee timothy apiyo, aliyekuwa katibu mkuu ofisi ya rais enzi za mwalimu, na mwanae. mzee apiyo, ambaye yupo hapo netcare rehabilitation centre kwa matibabu baada ya kupooza, anaendelea vyema na matibabu na panapo majaaliwa anaweza kurejea nyumbani muda si mrefu ujao.
Assalaamu Alaikum,
ReplyDeleteKuna umuhimu Tuwe na Hospitali yenye vifaa vya kisasa japo moja ili wanyonge wasio weza kusafiri kwenda nje nao wapate huduma kama hizi.
nasi tujenge hospitali bora angalau moja au mbili za kisasa tupunguze gharama za kwenda india,south etc. yote yanawezekana kama nia ikiwepo.
ReplyDeleteBAJETI AIJATOA TAMKOLA KUJENGA HOSPITAL BONGO?. NAONA HIZO HABARI AZIJATURIA KABISA.
ReplyDeleteNaam ...ebu sasa imagine hospitali ya Mnazi Mmoja ingekuwa na facilities kama hii hospitali ya Netcare?!
ReplyDeletePoleni sana wagonjwa!
ReplyDeleteHizi picha zinanifanya nione kuna umuhimu wa nchi yetu kuhimiza uwekezaji kwenye sekta ya Afya. Tungekuwa na hospitali bora ndugu zetu wasinegkuwa wanaenda kutibiwa nje ya nchi.
We need a rehabilitation centre in TZ. naomba mungu mambo yangu yawe poa nitaifungua mimi mwenyewe. This is ridiculous, serikali inafanya nini yaani Tanzania nzima hakuna rehabilitation centre?? Start training some people in occupational and physio therapy!!! Kwa watu wasio na hela za kwenda South Africa ndio inakuwaje?????
ReplyDeletemie ni mwandishi wa habari, lakini neno mpiganaji silipendiiiii...
ReplyDeletejaman Athumani ucjali utapona, wadau wa TSN 2mekumic saaaaaaana, tupo pamoja.
ReplyDeleteMUNGU AWAPE NGUVU, SUBIRA NA AMANI WAGONJWA WETU HAWA. JUU YA YOOTE AWAPE UZIMA WAPONE WAREJEE TANZANIA FAMILIA ZAO ZINAWAHITAJI.
ReplyDeletedu we have long way to go till we have hospital with facilities like these just forget it inasikitisha uchumi tumeukalia na pia hata ikiwepo hospitali kama hii vifaa vake havita chukuwa muda kuuzwa kariakoo sokoni au kuharibika mungu awasaidie wagonjwa wote wapone salama warudi makwao asante madiba kwa kutupa ukimbizi
ReplyDeletehuu sio muda wake, a hapa sio pahala pake, walakini bandugu bapenzi..yule askari mwenye risasi tumboni alishaenda walau india kutolewa???FOOD FOR THOUGHT
ReplyDeletehey deo tuwasiliane mzee mpe pole mzee mi nipo pietermaritzburg my cell no is 0761465037.pole sana nikipata muda nitatokea huko maana me bongo mpaka december or january.ukienda bongo mpe hi sana massawe
ReplyDeleteBongo tambarare siyo ahaaaaaaaaaa inatia huruma na aibu kwa Taifa as national kuona the country with population around 23 millions people we dont have such reabilitation centre at least one in Dar, instead of that people are spending a lot of foreign currency in SA for treatment and what so called Tanzania elites tunashangilia ahaaaaa nyumbani tambarare baada ya kujadili how we are going to build our national in 21 st..and to tackle global challenges tunakaria kupiga michapo na machungu...
ReplyDeleteJambo la kusikitisha watu waliolazwa hapa ni ........ what about my dear friends and relatives from mabonde kuinama ambao gari wanaiona mara moja kwa mwaka likija kuchukua mazao... who is going to take care of this people dont forget that we are bearing the same status "WATANZANIA" ......
Mdau wa kamachumu
Poleni sana nduguzanguni.Inshaalah,wote Mungu atawajalia na mtarudi kuwa fiti kabisa.
ReplyDeletePoleni sana.
H.Maarifa
annons sawasawa...
ReplyDeleteivi vyombo vya habari kama ambavo milikomalia UFISADI ukafichuliwa bongo!!haiwezekani kukomalia maswala kama haya apo ya afya yafanyike bongo??
na facilities zote muhimu??ivi mashangingi ya BMW za "watawala" ni costs ngapi na vifaa vya angalau centre moja ya kuhudumia wanainchi??
au km ni jadi kuomba kwa wafadhili,haya si ndio ya msingi?mtu unampa maekari ya maelfu ya ardhi in exchange of...???tell them jenga hospitali apa yenye kiwango ichi...full stop
tena ijengwe mkoani sio dar
ni uonevu na ushenzy sana
polen mpone mapema
Tunaendelea kukuombea kaka Athumani. Mungu yu mwema naona unazidi kupata nafuu kila siku.
ReplyDeleteNa pole kwa Mzee Apiyo pia.