Mbunge wa Busanda Mh. Lolesia Bukwimba (mbele kulia) akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM kuingia Bungeni ili kula kiapo leo mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2009

    pigeni picha za ukumbusho na kelele za mwisho maana wengine hapo pamoja na wewe wa busanda tutawamiss baada ya uchaguzi mkuu 2010

    ReplyDelete
  2. Hongera mama karibu bungeni,litumie vema bunge hili kujisafishia njia mwaka ya kesho.Waliokubeba hawatakuwepo mwaka kesho ,nao watakuwa majimboni kwao kutetea viti vyao.Ukicheza vibaya utakuwa ni mbunge aliyekaa muda mfupi bungeni kuliko wote,historia itakuwa imeandikwa. Mfate Mwandosya alete kilimo cha umwagiliaji Geita na Busanda.Mwambie Mabina muunganishe nguvu za hoja maendeleo yaje Geita na Busanda.Nikipata nauli,nitakufata Bungeni nikupe hints za kuwatetea wananchi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2009

    Wizi mtupu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2009

    kanyaboya hilo, hakuna chochote.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2009

    busanda ni ndoto kupata maendeleo kwani anahitajika mbunge radical kwelikweli, huyu mama hawezi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2009

    radical???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2009

    Kwa kuangalia tu sura zote hizi za wawakilishi wetu pamoja na walivyojilemba kuna anayeelekea kuwajali masikini? Bado tuna safari ndefu ya dhati ya kuondoa umaskini.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2009

    The woman is HOTTT!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2009

    aah Bukwimba!!! Haa! hivi siku hizi hata wanawake nao ni MAFISADI? kweli haki sawa kwa wote. Aah Bukwimba!!! Fisadi from Busanda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...