Obama delivering his speech in Cairo

Grounding himself in verses from the Koran, President Barack Obama on Thursday promised the Muslim world a new partnership with the U.S. based on mutual interest, mutual respect - and a promise to "say openly the things we hold in our hearts, and that too often are said only behind closed doors."


And he delivered by the bucket, in a speech that first wooed his audience with lavish praise of Islam's contribution to global civilization, and then delivered some bracing messages on key points of conflict between the U.S. and its Muslim critics.


• On Afghanistan, Obama emphasized that the Sept. 11 attacks had left the U.S. with no choice but to deny al-Qaeda a sanctuary there - squarely challenging the conspiracy theories that still prevail in Egypt and much of the Muslim world that question whether the attacks had in fact been carried out by extremists, who claimed responsibility for the event. "These are not opinions to be debated; these are facts to be dealt with," he said bluntly. The U.S. would bring its troops home immediately if it could be sure extremists would have no sanctuary in Afghanistan.


• Iraq was different, a war of choice that Obama himself had opposed. But he emphasized his responsibility to help Iraqis achieve a better future while stressing that his goal was to leave Iraq to the Iraqis - and he broke with President George W. Bush by saying bluntly that the U.S. had no interest in establishing permanent bases there. He also stressed that all U.S. troops would leave Iraq by 2012, in line with an agreement with the Iraqi government. (Read the full text of Obama's speech to the Muslim world.)


• On torture and the abuse of detainees at GuantÁnamo and elsewhere, Obama carefully distanced himself from some of the Muslim world's most toxic grievances against the U.S. war on terrorism. The fear generated by Sept. 11 had prompted some Americans to act in ways that contradicted their country's values and traditions, he said - a line likely to infuriate former Vice President Dick Cheney - but he stressed that he has already outlawed torture and vowed to close GuantÁnamo by next year, drawing raucous applause.


• The Israeli-Palestinian conflict marks perhaps the most enduring area of division between the U.S. and Muslim countries. On this subject, Obama's speech was an elegant walk on a balance beam: he unapologetically stressed that the bond between the U.S. and Israel was unbreakable, emphasizing that it was based on "the recognition that the aspiration for a Jewish homeland is rooted in a tragic history that cannot be denied."


He cited the centuries of Jewish persecution in Europe that culminated in the Holocaust, which killed more Jews than Israel's current Jewish population. "Denying that fact is baseless, ignorant and hateful.


Threatening Israel with destruction - or repeating vile stereotypes about Jews - is deeply wrong and only serves to evoke in the minds of Israelis this most painful of memories while preventing the peace that the people of this region deserve."


But he was just as forceful in describing the trauma of the Palestinians that began with their displacement by Israel's creation in 1948, which turned many into refugees and later included suffering the humiliations of occupation.


Obama's description of a stalemate involving "two peoples with legitimate aspirations, each with a painful history that makes compromise elusive" offered both sides a narrative in which they could recognize their own interests.


"If we see this conflict only from one side or the other, then we will be blind to the truth: the only resolution is for the aspirations of both sides to be met through two states, where Israelis and Palestinians each live in peace and security."


Obama bluntly rebuked Hamas for terrorism, offering the example of the U.S. civil rights struggle as an alternative. He also scolded Israel for its occupation of the West Bank, saying the U.S. did not accept "the legitimacy of continued Israeli settlement activity."


He stressed both the Palestinian Authority's responsibility for improving Palestinian governance and Israel's obligation to ease the siege of Gaza and its security regime in the West Bank - though both sides would see the speech as short on specifics.


Still, the audience warmed to a U.S. President using more forceful language on Israel than either of his two predecessors.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2009

    Wenzetu wanafikiri jinsi ya kujiunga na nchi za kiislam sisi tunaikataa OIC.

    Obama katoa somo zuri kwa wale wenye chuki za udini hasa kuona waislam ni watu wasiostahiki kitu kwenye nchi hii.

    jifunzeni kuwa OPEN MINDED.OIC ni muhimu sana mbona wakristu wamejiunga na Vatican na waislam hawajalalamika?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2009

    Sidhani kama Waislamu wanakataliwa kujiunga na OIC, bali Tanzania kujiunga na OIC. Kuna tofauti hapo. Wakristu hawajajiunga na Vatican, isipokuwa Wakatoliki ndio wana muunganiko na Vatican na wala si kwa kujiunga. Ni kama tu kuzaliwa kabila fulani, hujiungi, ila unakuwa member autonatically.

    USA haijasema inataka kujiunga na Waislamu. Waelewe sana Wamarekani. Hiyo ni njia ya kuwapoza Waislamu wasilete uhasama kwa nchi yao. Wewe bado hujajua kwanini Wamarekani wameamua kuwa 'HUMBLE'.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2009

    Obama kaongea pumba tu. Haja ongelea complex questions ambayo waislamu wanalalamikia. Ni wizi mtupu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2009

    Anoy wa kwanza nenda shule. Kuna tofauti gani kati ya Iran na Vatican? OIC ni organization na Vatican ni nchi ya kidini kama ilivyo Iran.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2009

    Obama rejected his father's faith. We all remember how those two women who wore hijab removed from front line during his campain in Detroit. What he just said it just pathetic and his movement to brainwash the universe is a little bit beyond ignorance.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2009

    Najaribu kufikiria kama JK akienda nje nakuvaa nguo za CCM kwenye mikutano wachonga hapa watakavyopiga kelele mpaka asubuhu. Kwa wale ambao hamjui hilo vyazi alilovyaa leo ni vyazi rasmi la chama chake. Wachonga hapa wanapiga kelele hata wapenzi wa CCM wakivaa mavazi yao humu humu nchini.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2009

    Pumba, wizi mtupu! maneno matupu hayana athari hata kidogo, Obama tunataka vitendo baba, la sivyo nawe utegemee kupondwa na viatu hivi karibuni kama mwenzio Bush... huo ndio ukweli!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2009

    I am replying to the person who said Obama rejected his father's religion:
    That's a very stupid thing to say. Obama as a person,has the right to choose his own path,his own faith. Plus,his father left him,his father was never around when he was growing up.Please, everyone has a choice of worship. If he wants to be Christian, it's his choice and not his father's.Go and read his books so you can understand more about the man.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2009

    we unayesema ati kavaa vazi la chama chake wacha ushamba. light blue ni color ya peace na ndio maana kila wakiwa kwenye mikutano ya kuonyesha peace either wake zao watavaa light blue au wao light blue tie....though democratic color yao ni blue but that doesn't mean amevaa kwa ajili ya chama chake....wakitoka nje ya nchi hawa ni USA tu mambo ya vyama wala hawana...sasa siku anavaa a red tie huwa anasupport republican? ....educate urself before u tell pp something...raisi akienda njeya nchi anatakiwa kuvaa bendera ya taifa...na ukumbuke bendera yao ina red and blue too

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2009

    Huyo kibaraka tu wa wayahudi hana lolote anajaribu kuwaingilia waislamu kwa strategy tofauti, kama kweli ni mkweli atatue kwenye matatizo hasa, na tatizo kubwa liko Palestine, Muisraeli haambiwi kitu anaua tu anavyotaka, sasa hapo peace itatoka wapi?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2009

    the leader of the people, by the people for the people.

    lengo lake ni chanya siyo uhasi unaoletwa na ushabiki wa dini na kudharau baadhi ya makabila.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2009

    utawajua tu WADINI
    nilijua tu lazima umu bloguni watatokea watu kama uyo ANNON #1

    ukichaa sio lazima ulazwe wodini,wengi tu wanatembea nacho sema kipo stage fulani tu!!

    kazi kweli

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 05, 2009

    hata wewe unayesema utawajua tu wadini nawe pia ni mdini...!
    Wewe kinachukuuma nini...ovyooooo!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 05, 2009

    Japo muhabarishi kajitahidi kuhabarisha zaidi yale yanojulikana kila siku hasa katika imani ya dini fulani, mimi nimeona hotuba imejengwa juu ya mistari hii:
    1> Marekani haipigani vita dhidi ya uislamu,
    2> Marekani ina malengo sawa na uislamu,
    3> Marekani haishindani dhidi ya uislamu bali kwenda sambamba,
    4> Marekani na uislamu havitatenganishwa.
    5> Waislamu wengi wamefanikiwa marekani kwa sababu ya uthabiti wa katiba ya marekani, katika kutoa uhuru wa kweli wa kuabudu na kupinga ubaguzi wa dini,
    6> Amani ipatikane kwa haki bila upendeleo kwa dini.

    Hotuba hii inapingana na misingi ya Maraisi kadhaa walionadi kuwa "ujamaa umekwisha bado uislamu" na kufanya watu kudhani Vita dhidi ya ugaidi vinalenga kutokomeza uislamu na waislamu na kuwainuwa watu wa dini kadhaa, hapana. sawa kwa marekani oga ya zamani, ya sasa sahau.

    Hotuba inasema magaidi ni wahalifu na wanapingana na misingi ya uislamu na marekani. Hivyo lazima kupambanua kati ya mwisilamu wa FUNGA na SALA TANO (mwema) dhidi ya GAIDI/SIASA KALI.

    Kwa hotuba hii isiyolalia upande wowote kuna watu watamlaani Raisi hasa kwa kuonyesha kutaka amani ya matifa mawili hasimu.Kuna watu watasema alaaniwe kwani anataka kugawa nchi ya ahadi. Hapana, hata Abraham (familia moja ya watu 3/4) ilijirani na watu wengi (wakiwemo wafilisti) baada ya kutoka UR. Hata hivyo wafilisti wa leo bado pia ni wana wa Abraham kwa DNA/damu siyo kwa imani kama wengi wadaivyo.

    ReplyDelete
  15. Watu lazima tuelewe matatizo yalioko huko kwa waarabu ni yamuda mrefu.Obama anataka kujaribu kama ataweza badala ya kumpa support tayari watu mmesha anza kutoa majibu ya kukatisha tamaa, hawezi kuyamaliza matatizo hayo peke yake wengi wanachukulia chuki kwa wamarekani.Sisi waafrica tungechukulia chuki kwa wazungu na waarabu walio tuchukua utumwa tusingeongea nao lakini mambo yalipita na maisha yanaenda waarabu nao inabidi wawe na subiri na na wampe support natumaini Obama ni mungwana na lengo lake ni kuleta amani dunia.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 05, 2009

    Marekani ni nchi ya kisecula ambayo inatoa uhuru wa kuabudu (hasa kwa waislamu ambao ni <1% ya wakazi)kuzidi hata mataifa mengi yenye waislamu wengi kama 40% mfano, nchiakili.

    Uhuru unaotakiwa ni ule unaolinda raia maslahi yake kisiasa [jamaa huyo mdini nuksi sala tano hatufai: kwani si ataongoza kwa katiba woga wa nini? jamaa cuf au (mzenji, wengine jamaa mlokole atampigania Bwana kwa kutupa kitu],kiuchumi [eti ana alama usoni, umeona jina hilo: umair (kazi kweli), umeona rozari lakini na pete hile, zile ndevu kidevu, we na hiyo miguo kuficha sura nani atakupa kazi labda ubunge wa viti maalum] na kijamii [umesikia jamaa akisema amen kwenye sala ya chakula? we huwezi kuoa hapa.]

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 05, 2009

    We anon wa mwanzo, lalamikia haki zako za msingi kama kuwepo kwa sheria ya kikatiba ya kudhibiti ubaguzi sio kungangania kujiunga na hiyo OIC. Kwani OIC itafanya wailamu wangapi zaidi wajikomboe kielimu na kiuchumi?

    Muhimu ni kuwepo na uhuru wa kweli wa kuabudu bila kuathiri nyanja nyengine za maisha za muabuduji. Marekani si OIC lakini waislamu wageni wana nafasi kuzidi hata walikotoka.

    TAFADHALI: angalia video za munishi youtube.com.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 05, 2009

    huyu jamaa hana tofauti na marais waliopita, hivi hiyi holocoust mna amini kuwa ilitokea? watu m 6 walipoteza maisha, aise waisraeli kwa kutengeneza picha wamebarikiwa. alafu wanakwambia usi hoji..

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 05, 2009

    Kuna tri angle of fire M East watatu hawa Israeli, Waisalam na Marekani wote wanahusika sasa anataka nini waislama wafanye wakati chanzo ni USA.mgogoro wa ugaidi ni chimbuko toka unyanyasaji wa israili, solving this issure is the only solution not bla bla.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 05, 2009

    hakuna wema au huruma yeyote kutoka kwa marekani kuhusu waislamu, tusijidanganye siku zote wamarekani wanaangalia maslahi yao tu,hivi nini chimbuko la ugaidi? ulianza tu bila sababu? au watu walikandamizwa,kunyimwa haki zao kwa uonevu, na walipoona hwana cha kujitetea kwa nguvu na ubabe wa wamarekani wakaamua kufanya hayo.Marekani ilijipa jukumu kupanga na kuamua nani gaidi na nani si gaidi hata kama wote wwliuwa kwa silaha tena kuuwa watoto wanawake na vikongwe wasio na hatia.anachofanya Hamas,wairaki,syria,iran ni ugaidi lakini anachafanya israel dhidi ya wapalestina ni kujilinda! na tuliona hata savimbi aliitwa mkombozi pamoja na unyama wote aliowafanyia waangola kwa mtazamo wa marekani.hiyo ndio ikawafanya waislamu kuhisi vita hii ni dhidi yao mbona hata wanaokamatwa tena bila mashtaka ni waislamu wengi!mbona korea haifanyiwi ubabe walio fanyiwa iraki? au vitisho anavyofanyiwa iran?Huyu OBAMA namkubali amezisoma nyakati na kutambua marekani haiwezi kushinya vita dhidi ya ugaidi kwa hakuna haki au kushirikiana na waislamu kwa njia ya amani.wakati watangulizi wake walidhani rockets,bombs zingemaliza ugaidi na kuiweka dunia salama.mungu ambariki atafanikiwa kama anania ya dhati na si kujikosha mbele ya macho ya jumuiya za kiislamU

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 05, 2009

    sasa OIC na hotuba ya obama wapi na wapi??

    nyambaf,kalale mbele

    obama jitaidi tu kaka utafika mahali tu

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 05, 2009

    VATICAN SIO NCHI NI TAASISI YA KIDINI KAMA OIC.SIO NCHI KAMA IRAN.

    MOJA ILI IWE NCHI LAZIMA IWE NA KITI UMOJA WA MATAIFA IRANI INACHO-VATICAN HAINA.

    VATICAN HAINA WIMBO WA TAIFA IRANI NA NCHI YEYOTE HUWA NA WIMBO WA TAIFA.

    VATICAN HAIKO KWENYE UMOJA WA NCHI ZA ULAYA EUROPEAN UNION,INGEKUWA NCHI INGESHIRIKISHWA.

    JANA UCHAGUZI WA BUNGE LA ULAYA UMEFANYIKA HAKUNA NCHI INAITWA VATICAN IMESHIRIKI.

    VATICAN HAINA JESHI HAKUNA NCHI ISIYO NA JESHI.

    KIONGOZI WA VATICAN AMBAYE PAPA NI RAIA WA UJERUMANI HAKUNA NCHI RAIS WAKE AKAWA RAIA WA NCHI NYINGINE.ALIYEKUWA KABLA YA HUYU PAPA BENEDICT ALIKUWA RAIA WA POLAND.RAIS WA IRAN NI RAIA WA IRAN.

    KWENYE KOMBE LA DUNIA UTASIKIA KUNA NCHI INAITWA IRAN INASHIRI LAKINI HAKUNA TIMU YA KUTOKA NCHI YA VATICAN INASHIRIKI KOMBE LA DUNIA AU KOMBE LA ULAYA.

    HIVYO NI VIGEZO VYA KUTHIBITISHA KUWA VATICAN SIO NCHI NI ENEO TU KAMA PERAMIHO KULE SONGEA AMBAYO NI BASE YA WAKATOLIKI.

    UTASIKIA SERIKALI YA IRAN IMESAIDIA KILIMO CHA MPUNGA BONDE LA RUFIJI AU MAKAMU WA RAIS WA IRAN ATATEMBELEA KENYA LAKINI VATICAN HAINA MFUMO WA KISERIKALI.

    NCHI GANI HUWEZI KUSIKIA IMEENDA KUSAIDIA MAAFA CONGO AU MBAGALA.

    TUSIDANGANYANE.VATICAN NI TAASISI YA KIDINI HIVYO NA OIC IRUHUSIWE.
    MDAU MSWAHILI.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 05, 2009

    Kwa hotuba hii niko tayari kushirikiana na Obama kufufua uongozi wa marekani duniani.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 05, 2009

    Kuna watu kila siku wananadi kuwa magharibi siyo sehemu nzuri kwa waislamu na uislamu bali kwa dini fulani: MAJIBU YENU HAYO.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 05, 2009

    Wewe mswahili naona unajiona una akili sana hebu tuambie wakati Tanganyika ilivyokuwa chini ya waingereza ilikuwa nchi au siyo? Kuna nchi nyingi sana ambazo hazina viti umoja wa mataifa sasa hivi tuziitaje? Kwa mfano Tanzania ikaruhusi uraia wa nchi mbili na akatokea mtu ambaye siyo raia wa kuzaliwa wa Tanzania akawa rais wa Tanzania je Tanzania itapoteza hadhi yake kama nchi?
    Papa ana passport ya Vatican kama walivyo makadinali wote wa Roman Catholic na wanasafiri nazo sasa hizo passport ni za nini kama Vatican siyo nchi. Hebu tuwekee hapa angalau cover la passport ya OIC kama unayo.
    Nchi siyo lazima iwe na jeshi wala wimbo wa taifa au kushiriki kwenye chaguzi za kisiasa. Kuna nchi hapa hapa Africa siyo wanachama wa AU na hazishiriki kuchagua viongozi wa AU.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 05, 2009

    Marekani hawatambui kama Mtume Mohammed alizaliwa kama wangekuwa wanaitambua basi wangekuwa wanasherekea kama Christmas.
    Obama amesema watatoa hela za shule kwa nchi za kiislamu? Je, nchi za kiislamu zinahitaji shule kama nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara? Hizi hela haziendi kujenga madrasa, sinaenda kujenga western schools ili kuwaelemisha waislamu juu ya western culture. Baada ya muda islamic ideologies zitakwisha kama ulivyokwisha ujamaa kwa nguvu ya Marekani. Marekani siyo mchezo bwana..... kwa hotuba ya jana waislamu kibao wameshaingia mkenge baada ya miaka 10 wote tutakuwa tunakula kiti moto na kuvaa vi-mini.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 05, 2009

    State and Government
    http://www.vaticanstate.va/EN/State_and_Government/

    Vatican City is the smallest independent state in the world in terms of inhabitants and size. It occupies an area of 44 hectares. The borders are represented by its walls and the travertine pavement curve that joins the two wings of the colonnades in St Peter’s Square. Beyond the proper territory of the State, Vatican jurisdiction also covers some extraterritorial areas within and outside Rome.


    General Information Vatican City State was founded following the signing of the Lateran Pacts between the Holy See and Italy on February 11th 1929. These were ratified on June 7th 1929...
    History The term Vatican was used in ancient times to identify the marshy area on the right bank of the Tiber River, between the Milvio Bridge and the present Sixtus Bridge. During the monarchy and the republican age... State Departments Vatican City State is governed as an absolute monarchy. The Head of State is the Pope who holds full legislative, executive and judicial powers...

    Judicial Governing Bodies Legislation (n° CXIX) enacted on November 21st 1987 vests judicial authority in a Judge, a Tribunal, an Appeals Court and a Supreme Court, which... International Relations Relations with foreign States and Representation with International Organizations

    International Relations


    Diplomatic relations The task of representing Vatican City State and managing its relations with foreign States is the prerogative of the Pope who does so through the Secretariat of State... Participation in International Organizations The Holy See has Permanent Observer status with several international Organizations (such as the UN, FAO and UNESCO), and is a member of others (such as IAEA, the International... Adherence to International Conventions The Holy See and Vatican City State are distinct entities. On occasion each of them has signed international conventions (sometimes with reservations), including...

    Mdau
    Rome

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 05, 2009

    Three countries are not members of the United Nations :

    Kosovo
    Kosovo declared independence from Serbia on on February 17, 2008 but has not gained complete international recognition to allow it to become a member of the United Nations.

    Taiwan
    In 1971 the People's Republic of China (mainland China) replaced Taiwan (also known as the Republic of China) in the United Nations.

    Vatican City / The Holy See
    The independent papal state of 771 people (including the Pope) was created in 1929. They have not chosen to become part of the international organization.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 05, 2009

    Iceland, Liechtenstein, Switzerland and Norway are
    Four Western European countries that have chosen not to join the EU have been partly integrated into the EU's economy;

    Iceland, Liechtenstein and Norway are a part of the single market through the European Economic Area, and Switzerland has similar ties through bilateral treaties. The microstates' relationships[20] can include use of the euro and other co-operation

    ReplyDelete
  30. Tutumie hoja zaidi badala ya ushabiki.Obama amesema huu ni mwanzo mpya na sisi tuanzie hapo.Yaliopita si ndwele tugange yajayo.

    Naunga mkono hoja.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 06, 2009

    Nimesikiliza hotuba yake nzima kwenye ukurasa wa jengo jeupe (whitehouse) nimeona ni hotuba nzuri saana ambayo hakuna raisi yeyote duniani amewahi kuitoa (hata marehemu mwalimu wetu hafui dafu).

    Huyu jamaa anaona mbali, na hawa ndo huwa hawatakiwi. Watu wengi hupenda marisi washabiki sio maraisi wa haki.

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 06, 2009

    Mi naona acahaneni na mambo ya OIC. Kwa nini tunataka kutatua matatizo ya kimataifa badala ya matatizo ya ndani kwanza?

    Inatakiwa umoja wa watanzania uliogawanywa na dini uishe tufikie mahala muumini haathiriki kisiasa (akigombea achaguliwe bila dini kuwa kigezo, asizongwe na usalama wa taifa kwa sababu ya dini), kiuchumi (akiomba kazi apate bila kuangalia dini, akianzisha biashara isitozwe ushuru mkubwa kwa kisingizio cha kificho cha dini, au kuitwa fisadi), kijamii (asikose ushirikiano wa wanajamii wa dini nyengine katka maisha yake, yaani asipoteze marafiki).

    Hali ilivyo leo ni kwamba mtu analazimika isivyo rasmi kuchagua kati ya kufuata dini vilivyo au kupoteza uwezo wake wa kisiasa, kiuchumi, na kijamii).

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 06, 2009

    Miongoni mwa hotuba ni kwamba Marekani inajivunia waislamu ambao hujenga taifa la marekani pamwe na wamarekani wengine.

    Pia ipo sheria, ukimkejeli au kumnyanyasa mwanamke alivaa hijabu utakiona.

    Maana marekani imempa mtu uhru wa kuchagua mavazi. Si kama wengi wafikirivyo kuwa kuvaa hijabu ni kujinyima uhuru.

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 07, 2009

    nakubaliana na wale wote wanaosema obama kaongea PUMBA tu especially alipozungumzia issue ya palestina na israel, kwa kifupi israel haina haki ya kuwepo pale na wapalestina wamedhulumiwa, sio ardhi tu bali ni millions za roho zilizopotea mpaka kufikia israel kuepo pale! israel wana haki ya kumiliki weapons of mass destruction lakini wapalestina wanatumia mawe kuwapiga israel, haki hiyooo? wana waisrael kwa kifupi hawatokuwa na amani milele hata wajenge ukuta wa chuma kwa dhulma waloifanya! mdau Birmingham

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 07, 2009

    OBAMA'S TRUTH in his speech (downloadable from whitehous web):

    "..COLONIALISM THAT DENIED RIGHTS AND OPPORTUNITIES TO MANY MUSLIMS,.."

    This sentence is apologizing and acknowledging the muslim sufferings during and post colonial era caused by unequal mistreatment during colonialism.

    The mistreatment follows the fact that the colonizers were also serving evenglical purposes, why bother helping other faiths. Makes sense.

    The worst of the mistreatments was denial to unconditional eduacation (however weak the education was, better than nothing). Being put to sleep for 70 years one recovers in 1000 years. We won our indipendence with a half educated and another perfectly ignorant, except some sneakers. The educated served high positions in the young government while the ignorant ended up being boss' drivers, watchmen(securities) and dispatchs.

    Whenever the educational victims accused the colonizers of the offense, that who had an opportunity to exploit colonial eductaion by qualication would right away dismiss allegations by "don't blame history" though hidenly praising it.

    And those who had an opportunity to access the aducation would always go contrary to the fact by disproving the presence of colonial missionary schools. They would say there were colonial schools for training governmental clerks. The denial of the fact, however, is dismissed by uncovering the number of schools nationalized in 1967 under the genius Mw. Nyerere.

    I dont know whether the allegations are either valid now, a constant appeal to granting extra educational effort, or seeking national apologetic sentense from colonizers and the educational beneficiaries.

    Refraining from recognizing and apologizing have made the victims unforgiving and keeping telling the same old story from a generation to the next. The unforgiving nature might be caused by their "haki bin haki" belief unlike the counterpart's "turn the other chick, and love thy enermy."

    We are one people. Should solve our tensions starting with an apology and not just groundlessly dismissing claims. Acknowledging unmeditated offense does not harm ones faith but builds it and strengthens social ties within our nation.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 08, 2009

    Obama ni mfano wa mfalme Najash/Nagus (mkristo) wa Ethiopia aliopokea waislamu wakimbizi kutoka Makka wakati wa uhai Mtume. Mfalme huyo aliwalinda na kuwatetea na kukataa uongo na visingizio vya askari wa Mfalme wa Makka aliyetaka Nagus awafukuze wakimbizi.

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 08, 2009

    kama watu wa Vatican wana pasipoti zao basi wanavunja sheria za nchi yetu.ambayo inataka uwe na pasipoti moja tu.pengo vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...