
Mdosi inakuletea LOST IN 90's jumamosi june 20,
VIJANA WA ZAMANI MPO????
mambo hayo hapo Downtown Silver Spring Dj Banti na Dj Luke watajitahidi kumaliza kiu ya OLDSKUL huku Dj Joe(Cat Dady)akimalizana na NEW SKUL kwa wazee wa kesho. Ukikosa lwako...
Gallery Silver Spring
1115 East West hwy
Silver Spring,
Md 20910 KARIBUNI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...