Mwema, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma leo tayari kwa kujumuika katika kilele cha sherehe za Siku ya Serikali za Mitaa zinazofanyika kitaifa Mjini Musoma Jumatano. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Gaudencia Kabaka
Mwema, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma leo tayari kwa kujumuika katika kilele cha sherehe za Siku ya Serikali za Mitaa zinazofanyika kitaifa Mjini Musoma Jumatano. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Gaudencia Kabaka
Afande Saidi, Jim basi hata mara moja moja, mwili huo usiuachie kama Mahita, ulipoinia ulikuwa na Body standard sasa unaharibu.
ReplyDeleteMama Kabaka hongera sana sana, muonekano wako unaashiria kuwa mama mwenye busara na amabye kwa hakika mimi kama mama mtarajiwa ningependa kuwa kama wewe. Salamau kwa mama Sitta pia Mary Nagu, hao ndio wanawake wanaonivutia hapa nchini! Nashawishika kuwapa nafasi kubwa sana katika masuala ya kifamilia, achilia mbali nyadhifa zenu za kiserikali mlizonazo. napenda mnavyoonekana mbele ya macho yangu.
ReplyDeleteAfande Said Mwema salu za dhati popote pale ulipo. Nafurahishwa sana na tabia yako ya kutokuwa na jazba na hasira kwa wingi kama nilivyozoea kuona kwa wengine. Utu wako na falsafa yako ya kutenda kazi kwa kutumia akili kuliko nguvu ni moja ya sifa kubwa inayonivutia kwa hakika. Nafurahi kukuona ukiwa na staha njema kwa wananchi na pengine ndio kinacholeta mafanikio makubwa katika utendaji wako. Binafsi nakukubali hasa kwa mtindo unaotumia kufanya kazi zako. Salamu pia kwa kamanda kova na wengineo wanafanikisha kazi kwa nia njema, hongera pia kwa jeshi la polisi hasa kwa kuweza kutumia taarifa za wananchi ipasavyo na kutake immediate action on the spot. Endeleeni kuwakuza vijana wa jeshi letu katika itikadi hiyo ya kuwajibika kwa vitendo bila jazba na hasira na amri nyiiiiingi zisizokuwa na tija kwatika sekta ya ulinzi.
ReplyDeleteMwema Hoyeeee! Upole wako umebeba ujumbe mzito, kuwa uwajibikaji ni vitendo na sio blabla kama wengi wanavyofanya! Wenye nyadhifa na dhamana kwa jamii jifunzeni toka kwa Mwema.
Salaam kwako Mama Kabaka, Hongera kwa Kazi nzuri. Daima tunakukumbuka katika sala na dua zetu.
ReplyDelete