
nanihii akiwa na mdau francis mtui a.k.a franco na kaka yake deo mtui katika hospitali ya netcare rehabilitation centre iliyoko johannesburg, leo. mdau franco yuko hapo hospitali akipata matibabu baada ya kuumia akiwa shambani kwao mbezi, dar, hivi karibuni. amelazwa katika wodi moja na mpiganaji athumani hamisi na matatizo yao yanashabihiana - franco amepooza mwili mzima baada ya kuvunjika mfupa wa shingo alipoangukia shimoni wakati akiwa shambani kwao. anatoa salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki zake wote akisema anaendelea vyema na matibabu. anashukuru kwa kuombewa na wadau wote, hasa wa klabu ya sugar ray ya mikocheni ambako anasema anawamiss ile mbaya na anaomba mzidi kumuombea apate nafuu haraka.
Wagonjwa wote poleni sana. Naomba niwaimbie wimbo huu;
ReplyDeleteWakati umewadia wa salamu za wagonjwaaa hospitalini leo tunawapa pole
Ajuae Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu, mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole,
Watanzania twawapeni poleeee!
Wooote twawapeni poleee
Mungu atawajali poleee
Mdau - Kijitonyama
franco mtui kaka ulinisumbua roho yangu. Hapa nilipo nimechanganyikiwa vibaya sanasana nakuombea haswa kwa mungu. Jamani bila kaka michuzi habari hizi wengine tusingezipata. Mungu atakunyanyua franco jamani machozi yananidondoka hata hamu sina nimechanganyikiwa kaka michuzi tupostie mawasiliano yake
ReplyDeleteFesa, hang in there brother mwenyezi mungu akujalie nguvu na uvumilivu uweze kurejea hali ya kawaida. Katika imani tunahakika maombi yetu yatasikilizwa. Get well soon bro.
ReplyDeleteMcfesa....pole sana mzee tunakuombea sana tumepokea habari hizi kwa masikitiko makubwa lakini mwenyezi mungu atafanya miujiza yake. Wako,
ReplyDeleteRafiki Phanuel Ligate
Doh, Franco, pole sana ndugu yangu. Tutazidi kukuombea mwenyezi Mungu akusaidie.
ReplyDeleteMdauzJP
Pole Franco. Tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu mambo yawe mazuri.
ReplyDeleteTunga
Franco,
ReplyDeletePole sana my friend.
Wishing you all the best.
Get Well Soon Souljas!!
ReplyDeleteAkili.
Aisee franco pole sana aisee mungu mkubwa lakini wish you all the best
ReplyDeletemwan oyster-bay primary
Franco na Deo,
ReplyDeletePoleni sana mimi Patrick Magazeti Nhigula, Columbia, SC.Deo siku na miaka imepita bila ya kuonana sisi wazima na ninamtakia Franco kuendelea vizuri na poleni sana salamu wote nyumbani tumetoka mbali jamani Deo....enzi za Tambaza
Franco Mtui pole sana na matatizo yaliyo kupata tunakuombea mungu akuponye na urudi nyumbani salama mungu anakupenda utapona tu tumesoma wote SRSS
ReplyDeleteFranco i wish a quick recovery and also wish Athuman the journalist the same. I will definately be praying for you.
ReplyDeletePhillip kakuru
Pole sana Franco, Mwenyezi Mungu akujalie salama, upone na urejee katika hali yako ya mwanzo, pole sana.
ReplyDeleteHi ndugu franco nakutakia afya njema na mungu atakubariki. Deo pole kwa shughuli uliyonayo huko mungu yuko nawe
ReplyDeletekutoka kwa baba na mama Phillip na Lorraine.
i remember this guy francis mtui we were classmates at shabaan robert hope you recover soon i wish all the best and sorry for what happen
ReplyDeleteits me zully
Wazo kwa wanajamii.
ReplyDeleteKwanza nawapa pole sana wagonjwa wote na tunawaombea mpate nafuu.
Wakati tatizo la kupooza linalotokana na ajali ambazo husababisha athari kwenye shingo/mgongo hazitabiriki, kwani ajali ni ajali; tatizo la kupooza mwili pia linaweza kutokea kwa asilimia kubwa kutokana na kuwa na BP juu. Bp kuwa juu huweza kusababisha kupasua vimishipa vidogo kichwani na kusababisha kupooza/stroke na endapo BP hiyo ikisababisha kupasua mshipa mkubwa basi mtu huweza kufa ghafla kwa stroke inayotokana na kuvuja damu kwenye ubongo. Wazo langu kwa wanajamii kwa wale wenye BP basi wazingatie mashart ya daktari ikiwa ni pamoja na kujua ni kiasi gani BP yao ipo juu na kufuata mashart(kunywa dawa, kuacha au punguza pombe, mazoezi ya wastani/kutembea kwa miguu, acha au punguza chumvi, na kula mboga na matunda kama ndizi kuongeza Potassium nk mwilini) kama inavyoshauriwa ili kusaidia iwe kwenye kiwango kinachokubalika, na kwa wale wasio na BP hasa wenye umri zaidi ya miaka 40, ni vizuri kukumbuka pia kucheki BP pale usipojisikia vizuri na angalau mara moja kwa mwaka au kama vile atakavyokushauri daktari, kwani dalili za BP mara nyingine hazipo wazi vile kama za magonjwa mengine ambazo zinakusukuma kupata matibabu.
Mdau, chaimaharage
Wagonjwa wote nawapa pole..
ReplyDeleteFrank, kwa kuwa mungu ndie mpangaji na anatujua sisi kuliko tunavojijua, basi tumatangulize yeye katika kila swala. Na kwa hilo basi kwak kuwa umemtanguliza yeye aliyejuu atakupa nafuu na uendelee kumtumainia.
Deo poleni sana and may our good LORD continue to work in both your lives.
Mdau - MF Kijitonyama
May our awaesome GOD work his miracles on you.... Believe in him and you will be healed.
ReplyDeleteGee
Pole sana Franco.Wengi hawajui yaliyokusibu,tunashukuru Michuzi blog kwa kutuwekea hii taarifa.Mungu akupe unyenyekevu na uvumilivu katika kipindi hiki.Kwetu wewe ni familia na tuko na wewe kwenye kipindi hiki kigumu.Tutaendelea kukuombea sana tu ile uwe nasi karibuni.
ReplyDeleteKwa niaba ya wadau wa Sugarrays
Pole kwa ajali. Get well soon, our prayers are with you.
ReplyDeletePole sana Bro. Franco, Mungu akujaalie upone urudi katika hali yako ya kawaida- mdau Robert Mujuni
ReplyDeleteHey my young brother Francis,it is nice to see you afford a smile dispite the difficulties that you are going through,kutokana na matizo ambayo familia yetu imeyakuta sisi wote tume grow stronger.Hang on my brother we love you.
ReplyDeleteYr loving brother
Peter Mtui
Pole kaka Franco,
ReplyDeleteTunakuombea. Nakukumbuka enzi za house parties uliturusha sana! Kikundi chenu kilikuwa kinaitwa Bad Boy!! Kabla hata P. Diddy hajatoka!!
Yote maisha kaka. Sali sana usiwe na hofu.
Mungu yu nawe!
Polen sana Franco,hatujaonana siku nyingi kama miaka kumi lakini inshallah Mwenyezi Mungu atakusaidia utapona haraka
ReplyDeleteMcFeissa Pole sana my brotha
ReplyDeleteits hard to accept Hii habari..it's Tough,lakini inabidi..Pole sana Franco,pole to your Family,God will Bless you with recovery homie!
My everyday prayers are with you..its me your Homeboy/Twin.. KBC -Kibacha*
Pole sana Francis, tupo pamoja nawe ktk maombi ktk wakati huu mgumu.
ReplyDeleteJirani/O'Bay+SRSS
London
Kwa niaba ya uongozi na wanachama wa Sugar Rays napenda kutuma pole zetu kwako na kukuombea uweze kupona haraka.Mungu atakujalia.
ReplyDeleteJeff
Katibu SRSC
Shalom!
ReplyDeleteFranco, God is so greeeeaaat!! It's so lovely and beautiful to see you in that high spirit. Your face is sparkling with high hopes of new life. Yeah, I'm trusting my God in your complete healing Franco, believe that. I can't wait to see you again on your feet. Who's going to drive me around when I get there again? It's you and always will be you. I miss you so much and you are always in my prayers.
Deo Barongo Rumisha you're a gr8 bro..hahhahah!! I can't stop laughing at our last conversation..
Loving you all.
Angela Verah.
Aisee Franco na Deo poleni sana ila tunashukuru kuona matibabu yanaendelea vizuri. Deo naona sikukutafuta tena tangu ulipokuwa Nairobi ila kama unayo namba yangu huko tafadhali niletee contacts za brother au wife huku niwasiliane nao.
ReplyDeleteT.
My dear brother Franco,
ReplyDeleteWe are all praying for you back home for a quick recovery,baba & mama mdogo r praying for you as well. Trust in God for his miracles are hunting you....
Doreen Mtui!
Hi Franco,
ReplyDeletePole sana kwa ajali iliyo kukuta, mungu ndiyoe mpagaji wa yote tumuombe sana akujalie afya njema na hatimae upone
with love,
Bundala Limbu
Hi Franco
ReplyDeletePole sana kwa ajali. Tumepokea habari hii kwa masikitiko makubwa. Tupo na wewe katika sala, inshallah, Mwenyezi Mungu kwa rehma zake akufanyie wepesi upone.
Franco, pole sana ndugu yangu. Tunakuombea wewe pamoja na wagonjwa wengine wote mpate kupona na kurejea katika shughuli zenu za kila siku. Pole kwa familia yako pia.
ReplyDeleteMichuzi, tunashukuru sana kwa service yako na hii inaonesha kwamba hili kweli ni jamvi la jamii. RESPECT!
Pole sana Franco. Tupo pamoja katika sala.
ReplyDeleteEric -O'bay primary
Pole sana Franco, we wish you to recover well.
ReplyDeleteAtujaonana myaka mingi sana. Nimekumbuka house parties na bottle parties enzi zaujana na kuwasaidia ku-deejay sehemu nyingi wewe na Mao na vile vile enzi za Keys na nika Makan wa pale next door Upanga.
Praying for your quick recovery.
Maka Mwamwaja
Hello Franco,
ReplyDeletenatumaini unaendelea vizuri kama unavyoonekana kwenye picha, nimepokea hii habari na mshtuko na masikitiko sana, kwani miaka mingi bro, kwa bahati mbaya hatukuweza kuonana kipindi ninapokuwa nyumbani, kama tulivyokuwa pamoja wakati wa raha tupo pamoja na sasa na tunakuombea mwenyezi mungu akupe nguvu, ustahimilivu,imani,na afya njema, kama ilivyo ni ajali na inaweza kumtokea yoyote wakati wowote, get well soon brotha,inshallah.
Kiyungi Fundikira
Pole sana Franco...just hang in there and believe in the healing power of our Lord...The love of our God is so Great,..you will soon pull through n will be on your way back home! God speaks to us in so many different ways...listen to His voice!
ReplyDeleteMdau London
POLE SANA BABU MUNGU ATAKUSAIDIA UPONE HARAKA.....ACHU
ReplyDeleteHey Deo & Franco,
ReplyDeletethis is Amide, poleni sana aisee. My prayers are with you. God Bless,
Amide John
Kaka Deo na Franco hope your doing well.
ReplyDeleteSalamu zako nilizifikisha kwa Uncle Tarimo na Tunasubiri namba yako kama tulivyo ongea kwenye simu.
Tuna waombea kwani Mungu muweza wa yote atatenda Muujiza.
Your Bro. Jacob
poleni..
ReplyDeletenyie ni kabila gani?
nina kaka yangu anaitwa mtui..
Franco tunakuombea kaka . Pole sana TT. Washington DC
ReplyDeleteDuh! pole sana bro Fanco kwa ajali iliyokupata tunakuombea mungu upone upesi, habari hizi nimezipokea kwa masikitiko makubwa, mdogo wako tulikuwa wote SRSS enzi zenu na akina Marehemu Chriss Jemalema, Fanuel Ligate, Marehemu Abel Siwale, Terry Shomari na wengineo
ReplyDeleteMdau
Manchester
Bro Franco pole sana,
ReplyDeleteInshaalah,Mungu atakusaidia na utarudi kuwa fiti kabisa.
Pole sana.
H.Maarifa,UK.
Brother Franco,
ReplyDeletePole sana. Tunakuombea upate nafuu upesi. Brother Deo asante kwa kumuuguza vema ndugu yetu.
Nina tetemeka maanayake. Jamani poleni sana na haya . Mungu atakunyanyua jamani . ooh my God
ReplyDeleteJamani haya ninayoyaona ni ya ajabu. Franco mtui hawezi kutembea makubwa. I was very young but i could remember my sister not able to stop talking about him all the time. Franco your smile will let you free and you will be able to walk again. Life is series of events. You will pass this event. God is good all the time. Iam shocked and sad . God will be with you. Love hug
ReplyDeleteFranco,
ReplyDeleteKeep your head up, you will be fine.
Hello Franco,
ReplyDeletePole sana. I was shocked to read this news but i told myself God will see you through, just trust in him.
Ugua pole
annon #1 nimalizie
ReplyDelete..msiwe na shaka poleeee
ooooo poleeeee...
tli tliiiii til tliii
tunawapa pole..
amen
Franco na Deo,kama kiyungi alivyosema..tulikuwa wote kwenye Raha pia tuko pamoja kwenye Matatizo..Tunajua matibani yana Gharama zake hasa ikiwa nje ya Nchi..tungeomba kama kuna njia ya marafiki kusaidia ktk gharama za matibabu,post hizo account numbers hapa kwenye Blog ya kaka Michuzi..Stay strong Mc Fiessa..KBC*
ReplyDeleteAHSANTE SANA KBC KWANI SUALA LA MATIBABU NA GHARAMA ZAKE UNAZIJUA NA TUTALIFANYIA KAZI HARAKA IWEZEKANAVYO KWANI RAFIKI YETU ALITUSAIDIA SANA KABLA YA AJALI HII. MUNGU AKUBARIKI WEWE KWA MAWAZO HAYO. NA MUNGU ATAWASAIDIA WAGONJWA WOTE. BOSS WA BAD BOYZ ENZI HIZO.
ReplyDeleteTo anon. 17 July 9.29 pm,
ReplyDeleteSamahani umetaja Marehemu Abel Siwale, huyu amefariki lini? Nakumbuka tulisoma na one Abel Siwale darasa moja Primary Forodhani miaka ya late 70s hadi early 80s. Mungu apumzishe roho za marehemu wote kwa amani Amen! Nasi njia ni hiyo hiyo.
ahsante mkuu wa wilaya ya tegeta. kwa kuwabania watu wenye msg mbovu ni kuwa hawajui wanalolifanya. kuuguliwa ni suala zito sana na watu wengi hawajui hadi yawatokee. hawa ndugu zetu wanaotibiwa huko kwa kweli wameumia na si kufanya mchezo na haya masuala.
ReplyDeletesasa sisi tulio nje tumsaidie vipi franco tunaomba atoe account yake.Tuweze kumsaidia
ReplyDeleteFranco pole sana mdogo wangu.
ReplyDeleteDeo, naomba tuwasiliane chukua namba yangu ya simu na email address toka kwa Muhidin.
Bwana Awe Nasi. Amen.
Tunga Mkubwa, Helsinki, Finland.
Tupatie account yake michuzi ja mani. HUU UGONJWA UNAHITAJI PESA NAOMBA UTUPOSTIE ACCOUNT YAKE NA SIMU YA HOSPITALI.MDAU HOUSTON TEXAS.POLE SANA FRANCO .Kaka watu wanavyokupenda wewe we will do anything to make you walk one request, PROVIDE MICHUZI YOUR BANK INFORMATION.HAPA NILIPO NASUBIRIA HIYO NUMBER
ReplyDeleteMy beloved brother in law Franco,
ReplyDeletethis is to tell you, that I'm thinking about you. It was so nice for me, to see your face again. I wish you strenght to go through this difficult time. Stay strong, believe in yourself and you will make it. You are a wonderful person and you deserve it.
So much love from Austria
your sister in law Renate
p.s. Deo, you are a wonderful brother, the way you are supporting Franco
Hii imenishtusha na kunisikitisha sana. Pole sana Franco. Nakuombea upone haraka. Hakuna linaloshindikana kwa Mwenyezi Mungu. Henry Kulaya.
ReplyDeleteDear Franco,
ReplyDeletePole sana kwa kuumwa na Mwenyezi Mungu akupenguvu na uvumilivu wakati unapita muda huu wa matatizo.
Kwa familia yote pia Mungu awatie Nguvu na mshikamane.
Jordan; I know you can pray, keep praying for daddy. He will be out of hospital soon by the grace of our Lord.
Franco stay strong!!
Stay Blesses
Lola
Dear Franco,
ReplyDeleteYou are my brother and I am thinking about you and been praying for your recovery. This I know; The support,love and prayers from all of us will strengthen you and help you overcome.
Deo, you are my brother too and you are in my thoughts. You are doing what a loving brother should do. I pray for your strength to hang in there.
Anthony 'Tony' Mwingira
Pole sana Franco, Mungu akusaidie uweze kupata hisia mwili wote hivi karibuni...POLE SANA!
ReplyDelete