JAMBO PUBLICATION LTD WANAPENDA KUWATAHARIFU NA KUWAOMBA RADHI WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KUWA LILE PAMBANO LA KUMTAFUTA MREMBO WA TANZANIA - ULAYA {MISS TANZANIA EUROPE 2009} LILILOKUWA LIFANYIKE LONDON SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27th JUNE 2009, LIME AHIRISHWA KWA SABABU ZISIZOZUHIRIKA MPAKA LITAKAPOTANGAZWA TENA HAPO BAADAE.
MWENYEKITI WA MASHINDANO HAYO, BWANA JUMA MABAKILA AMETHIBITISHA RASMI HABARI HIZI. TAREHE RASMI YA MASHINDANO HAYO ITATANGAZWA SIKU ZIJAZO.
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOTOKEA NA UTAKAOTOKEA. MWENYEKITI MISS TANZANIA EUROPE,
JUMA MABAKILA.
Bwana Michu na wadau. Mi nina swali moja inakuwaje Michuzi mwandishi wa habari wa siku nyingi hurekebishi wadau katika lugha yetu adhimu ya kiswahili. kuna neno katika post hii "ZISIZOZUHIRIKA" sina uhakika kama ni kiswahili sahihi.
ReplyDeletemara nyingi sana nimeomba tuwepo na muda kidogo wa kufundishana lugh lakini sijasikia michu ukijibu wala sijasikia mdau mwingine yoyote akichangia
kwani sio kiswahili icho???naweee
ReplyDeleteila niliuliza siku uko nyuma,ivi u-miss uropa mnatoa wapi pesa kuwezeshana?kusafilisha adi ao mamiss??hamkunijibu
ivi na crunch hii,,nilijua tu VJISABABU km ivi vingetokea
nikahisi abda mtasema ni kutokana na kifo cha wacko jacko vitu vimehairishwa kumbe "zilizo nje ya uwezo wenu??"
oooh poleni sana
Mimi maoni yangu ni kusikitishwa na jinsi sisi Watanzania tusivyokuwa makini katika mambo yetu. Hawa jamaa wameandaa shughuli hii kwa miezi kadhaa na hili shindano la London lilikuwa ni sehemu ya ratiba ya mashindano ya Miss Tanzania ya nchi zima na tuliambiwa kwamba washindi wangekwenda Dar es Salaam kushindania taji na nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World. Sasa leo wanatangaza kuahirisha 'mpaka itakapotangazwa tena!' Sasa tuseme zile fainali za Dar zitawasubiri wao ndio zifanyike?
ReplyDeleteHalafu namba hii watawaambia Watanzania wakate tikiti mapema kweli? Je, itakuwaje kwa wale waliokwisha kata tikiti za mabasi, treni au hata ndege toka nje ya London kuja kuangalia shindano hili na kupata fursa ya kuonana na Watanzania wenzao?
Poleni sana ndugu zetu mlioko Ughaibuni kwa huu ubabaishaji.
watz kawaida kila siku kupost pone pumbaaav!
ReplyDeleteHili ndilo tatizo la wanajiita maporomota wa kitanzania,mara nyingi hawapo makini katika maandalizi.bora
ReplyDeletekabisa walivyoahirisha kulikuwa ingetokea aibu.pia tusingeshangaa kusikia kuwa mgeni rasmi angekuwa Kanda Bongoman
Nilijua tu hii show itakua ushenzi mtupu...Maanake hata hawakui advertise wala nini..walikua hawana waimbaji na ma DJ wenyewe huo DJ jina tu...upotevu wa pesa na mda wa watu... full stop!
ReplyDeleteubabaishaji mtupu!! waTZ never take things serious.
ReplyDeleteMKUNWAJI NA MKUNWA, MUONA RAHA NI NANI???
ReplyDeleteHAUVUMI LAKINI UMO!!!!!
KWAKWELI SASA NAAMINI - KUNGURU HAFUGIKI
ANYWAY, HIVI NYIE JAMBO PUBLICATION LTD, KWELI MMEKOSA KUWAPATA HAWA NDIZI KUSUKARI?????
"MITANZANIA NDIVYO TILIVYO"
MDAU - KWA MFIPA/MLANDIZI!!
Shame on u nyie waandaaji,na hswa Juma kama huwezi mambo acha kuliko kulazimisha kutengeneza jina kwavitu usivyo viweza,inafikia wakati mwingine mpaka naona aibu kujiita Mtanzania kwa vitu vya kipuuzi kama hivyo nakuunga mkono anonymous wa 26/06 06;18 nimependa sana maoni yako.
ReplyDeleteNa nyinyi!! kila kukicha mashindano ya ma missi ee!! mpaka lini yataisha ,,hao ma missi wa TZ europe nikila wiki mashindano??
ReplyDeleteShow za Miichael Jackson ziliairishwa hamkulalamika na hamkuona ajabu sasa ajabu ya hii nini??? Wabongo mnapenda tu maneno. Pesa gani hizo mnazo sema zimepotea??? Ticket zilikuwa ziuzwe mlangoni. Kwanini watu hampendi kujua ukweli kabla yakutukana watu? Shame on u guys mnaotukana wenzenu.
ReplyDeletenilijua hii ni kanyaboya!!!hawa watu waandaaji bomu!miaka yote wanaboronga miss tz uk.juma step
ReplyDeletedown ASAP!
HEEE JAMANI SASA KAMAMIFUKO IMECHAHCHA MSIJIFANYE MWAWEZA VITU KUKAA ULAYA KITU GANI SIE WABONGO WA HAPA HAPA TWALA KUKU KWA MIRIJA SIO NYIE WABEBA MABOKSI U MISS KITU GANI FANYA MAISHA YAKO.
ReplyDeletemmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh makubwa!!!!
ReplyDeletehivi nyie waandaji mnaiita hii miss tz europe wakati tayari imeshafanyika germany.
ReplyDeleteHuyo leyla keshapewa halafu mnataka ashindane tena kwa mara ya pili.
Does this make any common sense?