Mke wa rais mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Magindu iliyoko Chalinze, Pwani waliohudhuria halfla ya makabidhiano ya msaada wa magodoro na vitanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
Mwenyekiti wa WAMA mama Salma Kikwete akipokea msaada wa magodoro 100 na vitanda 50 uliotolewa na Stanbic Bank kwa shule ya sekondari Magindu iliyoko Chalinze ,Pwani kutoka kwa mkurugenzi wa banki hiyo Bw. Bashir Awale.Makabidhiano hayo yametolewa leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar
Mke wa rais mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Magindu iliyoko Chalinze, Pwani waliohudhuria halfla ya makabidhiano ya msaada wa magodoro na vitanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar


jamani , mama kikwete anapendezega lakini hapo mtandio na kitambaa sielewi
ReplyDeleteJamani, shule ni nyingi sana zinahitaji misaada na kweli tunajua kuwa kutoa ni moyo sio utajiri lakini hapo Stanbic wanapochagua jimbo la mheshimiwa na kuacha maombi yote wanayopokea kila siku inatuacha tukifikiria hii sio njama ya kujiweka karibu na Ikulu? toa msaada unapohitajika na sio kwa kujiwekea ujiko tu!
ReplyDelete