WE ZANZIBARIS SHOULD BE HAPPY AND DELIGHTED TO KNOWTHAT HER MAJESTY THE QUEEN OF ENGLAND WILL BE HONOURING MR. NARENDRA R. BAJARIA, EX ZANZIBARI AND NOWCHAIRPERSON OF PEAK DISTRICT, IN SHEFFIELD, WITH - C.B.E- (COMMANDER OF THE ORDER OF BRITISH EXCELLENCE) IN HER RECENT HONOUR LIST .....
THIS IS A RED LETTER DAY FOR ALL ZANZIBARIS. WE SALUTE NARENDRA AND HIS FAMILY FOR MAKING US ALL PROUD ..
CONGRATULATIONS ALL ROUND.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    wazanzibar hao, si ajabu huyo anayesifiwa uzanzibari alishaukana, Jamani na sie tuupiganie utanganyika hawa wazanzibari wakae na uzanzibari wao na sie tukae na utanganyika wetu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    Huyo siyo mzanzibar bali ni mpemba tehee!!! teheee!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2009

    hayo ni mafunza gani...kusheherekea ukoloni?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2009

    ....wao wazanzibar sisi watanganyika....alitabiri "mchonga".

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2009

    Thats fine. Go ahead! Pigania...
    Mzanzibar akiongea lolote basi linakuwa ni nongwa?! Khaa...
    You dont think positive about them, why?!
    Let them be...

    ReplyDelete
  6. jembeulayaJune 14, 2009

    Sorry Narendra but for some of us who understand the meaning of such title MBE, OBE , SIR or Madame, We strongly regards any opressed subject from The then British Empire a TRAITOR and certainly not one of us if he/she accept this micky mouse title, That's why so many nowadays refuses these the so called titles!
    Anyway her Maj, the queen is the head of state of UK and not England as you put it.
    Siku njema Buckingham Palace na pole sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2009

    Siku njema kwa Wazanzibari au kwa Watanzania?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 14, 2009

    Watanganyika hawawezi kuudai utanganyika kwasababu wananufaika na Muungano wa Tanzania. Wazanzibari wanaukana utanzania kwa kuwa hawanufaiki na lolote zaidi ya kuchaguliwa raisi na watanganyika.Karume alichaguliwa na watanganyika na sasa ndio Raisi na sijui 2010 watatuchagulia nani. Mtoto wa Mwinyi au nani?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 14, 2009

    mtoa mada wa kwanza umesahau.
    ulipaswa kusema tuupiganie udanganyika kwani siye ni wadanganyika tuu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2009

    EEEH jamani, kwanini Zanzibaris?? mi ni-MTZ pamoja na kwamba sijatoka Zanzibar lakini ningependa kuwa-proud of this man as a Tanzanian, sasa huoni kama uninibagua hapa ndugu yangu????

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 14, 2009

    mdau 11:01pm wacha wivu panda juu ukazibe ukuta sote ndugu mbona tena kawivu kimekunyonga kooo dear hebu piga kofi angalau unenepe damu zetu sote nyeusi hakuna mwenye blue damu hebu jikate uone kama nasema uoongo.mzanzibari mtanganyika naona sote tunahesabiwa tanzania.mdau toronto.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 14, 2009

    eti good news for Zanzibarian, Siku nyingine utasema Good news for Pembarian, mwingine good news for Ungujarians. at the end of the day it is good news for Mchambawimas!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 14, 2009

    Mpemba ama Muunguja ? The name suggest neither !
    lol

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 14, 2009

    WOTE NJE NYIE. HUYU JAMAA INABIDI APONGEZWE NA WAHINDI KWANI NI MUHINDI HUYU!!! NI KAMA NYIE MNAOJISIFU KUWA FREDY MECURY PIA MZANZIBAR!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 14, 2009

    Ex Zanzibarian, Huyu amesha ukana uzanzibar sasa nyie wazanzibari mnaji-proud nakitugani? kama hizh ndo akili zenu finyu basi mtatawaliwa sana na wabara!!


    Na hiyo Title ya CBE watu weusi wengi walipewa na huyo Qeen Elizabeth wakaikataa kwa sababy inadhalilisha hasa watu weusi, Wa-zanzibar mtakapotia aqili ndo tutawaachia nchi yenu kwasasa bado hamjakua makini

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 14, 2009

    HONGERA SANA (NARENDRA,CBE) WAINGEREZA CHINI YA UTAWALA WA QUEEN ELIZABETH WAMEUTAMBUA MCHANGO WAKO KWA JAMII NA NDIO MAANA WAMEKUTUNUKIA NISHANI HIYO (UNGEKUWA TANZANIA SAHAU KABISA KUPATA HIYO NISHANI, UNGEAMBIWA KWANZA WEWE NI MUHINDI/BANIANI/GABACHORI, NA SIO MTANZANIA AMA MZANZIBARI NA URAIA WAKO UNGEKUWA WA MASHAKA KWENYE MACHO YA WENGI YA WASIOJUA MISINGI YA USAWA NA HAKI ZA KIBINAADAMU.

    KATIKA KUDISCRIMINATE WATU, WATANZANIA WANAONGOZA NA NDIO MAANA MATABAKA KATIKA JAMII HII NZIMA YANAZIDI KUONGEZEKA (WANAUA MAALBINO,UWE MTOTO WA KIONGOZI NA NAFASI YA KUPATA KAZI HUONGEZEKA,WANAWAKE MPAKA WAFANYIWE KAPETI INTERVIEW NDIO WAPATE KAZI......NA MENGINE MENGI TU.

    KUWA NA PASSPORT LA KITANZANIA NA URAIA KWA MANUFAA GANI?? HEBU TOENI SABABU ZA KIMSINGI ZITAZOFANYA MTU ASIUKANE URAIA WA KITANZANIA,PALE ANAPOPATA NAFASI YA KUWA RAIA WA NCHI NYINGINE???

    ISHI NCHI YOYOTE HAPA ULIMWENGUNI UKIWA NA PASSPORT/URAIA WA GREAT BRITAIN/UK CITIZENSHIP UONE JINSI UTAKAVYOHESHIMIWA NA KUTAMBULIWA KWA HAKI ZA KIMSINGI, PATA MATATIZO SEHEMU YOYOTE ULIMWENGUNI WAINGEREZA WATAKUTAFUTA NA KUKUSAIDIA, WEWE PATA MATATIZO NA GANDA LAKO LA KIJANI LA KITANZANIA UONE NANI ATAKUTAMBUA AMA KUKUPATIA MSAADA WA MAANA UNAPOKUMBWA NA MATATIZO,ZAIDI YA YOTE UKIRUSHWA TANZANIA UTAOZEA KWENYE GEREZA LA KEKO!!! ETI KUWA WAZALENDO NA UTANZANIA KWA LIPI ZURI SERIKALI YA TANZANIA IMEWAFANYIA WANANCHI WAKE ZAIDI YA KUWAENDELEZEA UMASIKINI KWA TAKRIBANI ZAIDI YA MIAKA 40 TANGU UHURU.

    MLIOPATA NAFASI YA KUPATA URAIA WA NCHI ZINGINE CHUKUWENI BILA KUSITA MTANUFAIKA KWA MENGI, TANZANIA WAACHIENI HAO WATOTO WA VIGOGO (HAO WANAOJIITA UMOJA WA VIJANA WA CCM)WANAOIFANYA NCHI NI YA KWAO WAO NA KURITHIANA MADARAKA, WANAPETA MPAKA WAFE. TUNASHUKURU SANA ME-CHOOSE, OOOPSSS!!!! MICHUZI KWA KUTUHABARISHA (UNAOMBA BANA HII USIIBANIE, SWALA NI KUELEWESHANA TU NA KUJENGA NA USIWE ULINGO WA MANENO MACHAFU KATIKA BLOG YAKO KWA JAMII.

    MDAU-UINGEREZA(BRITISH CITIZEN/MWENYE ASILI YA KITANZANIA)

    ReplyDelete
  17. Sasa mi nashindwa kuelewa maana, huyu jamaa anatambulishwa kama ex-zanzibari, ina maana si mzanzibari(.. if at all kuna uzanzibari. Huyo kwa sasa ni mwingereza, ni kawaida yao hao wahindi kuwa na passport nyingi kwa wakati mmoja..kama unabisha uliza wahindi wote kule kariakoo, utakuta wan pasi za india, tz, canada wakati tz hakuna dual citizenship.

    udogo (inferiority)wa 'wazanzibari'ndio inayofanya wakurupuke na kushangilia hiyo tuzo, ni kawaida yao.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 15, 2009

    1.kwa kazi ipi hasa??which purpose

    2."ex-zanzibaris"??sijaelewa

    3.kabila gani ilo jina,mboni limekaa kihindi?

    4.why say only zanzibaris should "celebrate?wako nchi gani hao wazenji,na mana kuna pemba na unguja pia.

    5.who are yu sent this crap?jitambulishe

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 15, 2009

    Wajameni, mbona sijasikia Wazanzibar wakisema Freddie Mercury ni Mzanzibar?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 15, 2009

    Hivi kupata Uraia wa Zanzibar unatakiwa uwe na sifa gani? kwani inaonekana kwamba ukiwa raia wa Zanzibar unaweza pia kuwa raia wa nchi nyingine bila ya matatizo, hii safi sana, mimi sasa nimechoka na Udanganyika, porojo nyingi wakati Wenzetu Bongo wanakula minofu sisi mafisi twaambulia mifupa

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 17, 2009

    KAMA KAWA LIBENEKE LA KUPAKANA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA LINAENDELEA! HIYO ISHU HAITUHUSU SI TUNACHOTAKA WAZANZIBARI TUPEWE HAKI ZETU TULIZODHULUMIWA NA TUENDESHE NCHI YETU!
    MDAU PONDA BHX

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...