Ustaadh Michuzi, Ijumaa njema,
huku zenj watu wamtinga kanzu kubwa kwa ajili ya Ijumaa leo. Napenda kuwasilisha zawadi ya week end kwa wana blog wote kutoka Zenj, anagalia sanaa hii iliyopo katika jumba la Old Dispensary, ndani ya Mji Mkongwe
Salaam
Mdau Khamis

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2009

    Zawadi hii ni kwa wana blog wote na sio wa zenj tu (kosa la uandishi tu), enjoy your week end
    Mdau

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2009

    Picha nzuri saaaana.mjengo mzuri na wa kihistoria ndani ya mji mkongwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...