Home
Unlabelled
bitebo aibuka na uzi mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi sijaoa jamani. Naweza kumpata huyo mrembo pichani? Kama bitebo atakubali, pamoja na wazazi wake au wanaimtunza (guardian) wake, basi wanipe jina lake, umri, pamoja na cheti kinachosema "sina umeme". Pia aniambie kama kuna au hakuna mchubuo. NI lazima awe mkweli. Wakwe zake wako tayari kumchukua. Naomba kutoa hoja.
ReplyDeleteDullah mbona unamuangalia huyo dada kimahaba, vipi kaka uzalendo umekushinda?
ReplyDeletewe mbona hawajakupa fulanazi ya bitebo?
ReplyDeleteDuuh hio picha ya Dulla Mwaipaya nilifikiria kichwa kimewekwa kwenye beseni hivi,nimestuka kiukweliii mazee ha haaaa.
ReplyDelete'Uzi mpya' ndiyo huo sikioni!!
ReplyDeleteni hairstylist sio hair designer, designer wa nywele ni Muumba wa hizo nywele.Hebu muelimisheni wadau mnaomjua
ReplyDeleteCream hizo watoto wa kiume jamani!!
ReplyDeleteHivyo vitana vinasafishwa? Bongo watu wachafu, mara tu unapata magongwa ya kiana ya ngozi.
ReplyDeleteNasikia wabongo wakifanyiwa skrabu uso basi shida tupu vichwa vya chini vinaamka utamaduni huu wa skrabu unawafaa wenyewe maana hadi kupepea waafrika moto mara moja utatuletea matatizo zaidi au mnasemaje?
ReplyDeletebongo siku hizi hadi wanaume na mikorogo dah...kweli weupo unaonekana uzuri
ReplyDeletemikorogo inaleta chunisi lakini watu wamekomalia