I represented my company to climb Mount Kilimanjaro in an event termed as Kili Challenge 2009 from 2nd July - 9 July 2009. The aim of the climb was to raise funds to fight HIV/AIDS also to help orphans whose parents died mainly of the pandemic.
We had many representatives from different big companies in the country. We were 45 people, 36 made it to Uhuru Peak. We went through the toughest Machame Route and came through Mweka Gate. Please lets share the photos in this most famous blog ya jamii.
Regards,Alex Mawazo Kasengo,
Safety & Training Officer,
Barrick Tulawaka Gold Mine,
Biharamulo,
Kagera
Mnatukumbusha tu machungu ya mikataba feki, hebu tupishe hapa
ReplyDeletembona hii ya mwisho utuelezi ni mlima gani au hapo ndio wapi au ni kibo tupe maeleuzo tupate raha jamani unajua sijawahi kupata picha za karibu kama hivi kwahiyo tupe raha zetu.
ReplyDeleteHizi picha mbona zinaonekana za mwaka 2007.
ReplyDeleteLicha ya kuonekana hivyo, lakini sina nisikitisha sana inavyoona hali ya mlima ulivyo kwani barafu imepungua sana. Mimi nilipanda mlima mwaka 1995 barafu ilikuwa nyingi sana.
Hizi picha jamaa wengine hata glovu mikononi hawajavaa, ina maana Uhuru Peak imepoteza hali yake ya awali. Hii ina maana baada ya miaka michache ijayo milima utabaki kama majiwe mengine tu. Inasikitisha sana.
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wanakata miti sana kwa ajili ya biashara ya mbao hasa baada ya zao kahawa kuharibika. Kuna haja ya kutafuta solutions ili milima ulirudi katika hali yake ya zamani. Ingawa hii itakuwa kazi kubwa na itachukua miaka mingi lakini ni vyema ikianza sasa.
Wanasiasi mpo jamani.
Mlima ndiyo ulivyo sasa, barafu imebaki kidogo.Hapo Mwanzo usingewezai kukaa Uhuru Peak dakika 15, sisi tulikaa zaidi ya nusu saa. Sijui ndiyo global warming. Tarehe ya hizo picha ni kamera haikusetiwa vizruri-
ReplyDeleteHongera
ReplyDelete(US Blogger)
kweli barafu imepungua sana 99 nilipanda barafu ilikuwa mwake bila miwani huoni jinsi theluji ilivyoukuwa inang'aa anyway mbele kwa mbele
ReplyDeleteMlima uliupanda lini kaka? Mbona kama calender ya Camera yako inasema 2007? Au unatukumbusha?
ReplyDeleteInatisha hii
by mdauuzz