akiwa waziri wa maendeleo ya wanawake na watoto naibu katibu mkuu wa sasa wa umoja wa mataifa dk. asha-rose migiro daima alikuwa akiwahangaikia wadau wa wizara yake. hapa anagawa vitendea kazi kwa wanafunzi wa chekechea wa shule ya vidudu ya chuo kikuu cha dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2009

    ...ila ni AIBU sana mumewe kuingiliwa nyumbani na vibaka wenye njaa tu kwa kutoboa katundu na kuiba vikorokoro.

    Sielewi sana Familia ya Naibu Katibu mkuu tena wa United Nation, inahitaji kupewa ulinzi wa level gani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2009

    msemaji wa kwanza mbona comment zako hazifanani na picha iliopo, hivi ulikua wapi usicomment katika picha husika? sio kila kitu unachangia, unaweza kuuchuna sometimes.....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2009

    hahahahahahaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...