Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Misupu,
ReplyDeleteHizi katuni za Dogo ninazizimikia sana. Hebu naomba nipe anuani ya libeneke la Dogo (website address ya blog yake). Nakumbuka uliwahi kumtambulisha hapa, halafu mimi sikutilia umuhimu, lakini naona ninavutiwa na kazi yake.
Ninatanguliza shukrani.
wewe anony hapo juu unataka anwani ya dogo ya nini? unataka umpasie lingwasuma lako? achana na dogo wa watu, ana demu wake mwenge mlalakuwa, na wewe katafute mwanaume mweingine.
ReplyDelete