Fresh Jumbe akiwa na wanamuziki wenzake jukwaani
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Nanii na Balozi wa Heshima wa Nanii ...Asalaam aleikhum!
Usiku wa juzi ile bendi ya Wazalendo inayoongozwa na nguli wa muziki mkongwe Fresh Jumbe Mkuu (juu kati) inayojulikana kama The Tanzanite Band imefanya makamuzi ya nguvu katika ukumbi wa What the Dickens jijini Tokyo.
Onyesho hilo lilivutia na kuwachengua mashabiki wengi wa bendi hiyo waliofika usiku huo na kujiachia vilivyo.
Lister Elia mpiga kinanda wa The Tanzanite
Amarilo Kilinda akiwa kwenye kinanda
Mika Jagajaga mpiga drums wa Tanzanite Band.
Mashabiki kutoka mataifa mbalimbali wakijiachia kwa miondoko ya bendi ya wazalendo ya Tanzanite.
Mashabiki wakijiachia.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2009

    Huyu bwana Jumbe yuko juu miaka nenda miaka rudi. Hashuki wala hachuji. Wenzie wote alioanzanao hooooiiii lakini yeye....Kiboko!.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2009

    Kwenye hiyo show yao iliyo fanyika Continental Tokyo, wajapan walipagawa kinoma.
    Jumbe upo juu mtu mzima.
    Big Up sana tuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...