Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
..afu mbona kila mara/km si mara zote ni huyu mbunge kijana tu anatakiwa aombe "radhi" sijui
ReplyDelete????????????????????????????????
Wazee wetu wamezoea kula bila kuulizwa na kunyenyekewa ndio maana mbunge wetu kijana anapata misukosuko...uzuri naye ameshawajulia, hawakawizi..
ReplyDeleteTamaduni mbya, hata Mkubwa akitoa mshuzi wenye harufu mbaya basi mtoto anafukuzwa kwa magumi. Spika utamaduni huo umepitwa na wakati.
ReplyDeletekipanya hebu chora hawa wanaojiita sexiest man in tanzanzia!wanatia aibu bwana!yani mwanaume kushindania urembo?ndio maana skuizi wanavaa mavitambaa kama yale ya palestina(alivaa hayati arafat kichwani)wakati bongo ni joto balaa,haya mambo ya kuiga ni ushamba sana,
ReplyDeletejamani ebu tujaribu kuangalia pande zote mbili, kwa zitto kabwe na spika mwenyewe. me sikatai zito kafanya kazi kubwa sana katika kufichua machafu ya wachache waliokuwa wanaihujumu nchi bt mnataka kusema zitto amekuwa na nguvu kiasi cha kutokuheshimu taratibu za bunge lenyewe?? spika ni kiongozi wake (na ndio maana yeye ana uwezo wa kutoa muongozo/ruhusa ya mbunge kuongea nk pale bungeni)alichokifanya kama alipaswa kuomba radhi basi angeomba na si kujitapa kwa kusema 'mkinisimamisha mtazomewa nchi nzima' kwakweli binafsi naona zitto amevuka mipaka. Na ukiangalia kwa undani yeye mwenyewe si msafi kiivyo, wat if siku yakwake yakianikwa mtaendelea kumtetea?? au mtasema viongozi wetu wote hawafai??? na usidhani wanaojua ya zitto wanaogopa kuyaanika, nop ila wanasubiri the rite time to fix him. Mimi nadhani kiongozi yeyote anapokosea sehemu basi aombe radhi na sio kutunisha kifua na kutoa vitisho. naomba kuwasilisha.
ReplyDeletepopobawa...ni kweli kabisa
ReplyDeletemitambaa ya palestina,mara sura,mapoudaz,tinda nyusi nk nk
tukemee ili swala
Big up Kp, hope through media message inasambaa sana kwenye jamii, kitu ambacho nikizuri hata kama hakitakua na mafanikio ya haraka. Keep up kukemea mabaya hasa yale ambayo yanapindisha jamii katika vita kubwa tuliyonayo, yakusaidia kila binadamu aweze kujitambua na kuappreciate identity yake. Kwakufanya hivyo, yote haya yakijinga kama SEXIEST MAN Sijui, Mashoga na Wasagaji kutaka wajaliwe sijua, hayata tokea.
ReplyDeleteBig up! Keep real!