Michuzi,
Naona wizara husika imelala naomba blogu yako iwaamushe!
Kuna kupigia kura maajabu mapya ya dunia, wamatumbi tumo...
http://www.new7wonders.com
/nature/en/nominees/africa/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2009

    Duh bongo tambalale.nna imani kweli wizara husika bado inakoroma kitatandani
    tuna kila aina ya vivutio mungu katushushia.ila sijawahi hata kuona CCN katangazo ka one of our vivutio.wenzetu Thai,malaysia,india,southafica and so fouth tunaona na ina impact.sie hadi tusubiri vikao vilivyoandaliwa ughaibuni sjui what what summit ndo tuanze kupekua mafaili.jamani tubadilike,teknolojia karne ya 21 hii.si ajabu tunavyosikia mount kilimanjaro inatangazwa ipo kenya

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2009

    Henry Joseph anavuma Norway! Anapata attention kubwa sana kwenye mji wa timu yake mpya ya Kongsvinger.fungua website yao: kil.no utakuta habari kibao kuhusu Henry Joseph.Tumia google translate kutafsiri. Cha kushangaza taarifa humo zinasema timu hiyo imetia mkataba wa kumnunua Henry na timu ya African Lyon na siyo Simba! Kwani Henry Joseph alihama simba kabla ya kuondoka? wadau naomba ufafanuzi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2009

    Mt Kilimanjaro is the tallest free-standing mountain in the world.

    This is cool to advertise!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2009

    hapa cape town radio zao wanaitangaza sana watu wapigie kura cape of good hope...natumaini redio za bongo could follow suite...na tv

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2009

    It has been reported in the Sun newspaper that Tanzania and Britain are among the worst swine flu affected countries in the world.

    BRITAIN now has the third worst swine flu toll in the world.
    Fourteen people have been killed by the bug and 43 are dangerously ill in intensive care units.

    Tanzania is the eight in the league of nations with 2,076 patient who are victim of swine flu but luckly no deaths reported.

    League wise 1st USA 33,902; 2nd Mexico 10262; 3rd 10,000; 4th 7,983; 5th 7,376; 6th Australia 5,298; 7th Argentina 2,485; 8th Tanzania 2076; 9th China ; 10th Japan 1,790

    Source: UK Sun Newspaper
    http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/2527652/UK-swine-flu-toll-third-worst-in-the-world.html

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...