Kaka michu,
Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya kwenye blog yetu ya jamii.
Habari ni kwamba mwimbaji nguli wa gospo John Lisu la amefanya uzinduzi wa Live DVD yake mpya. Habari kama hizi za gospo zaweza kupatikana kwenye blog mpya

http://thenextleveltz.blogspot.com/
Asante
Mdau Edgar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2009

    hao vijana wa zamani wa A town nawaona na mwandishi wa habari wa TBC aitwaye Seleman Mkufya, ambaye hapo ameitwa SAID Mkumbo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...