Habari ya kazi mkuu wa nanihii na mshikadau wa blog ya jamii,
Nakupongeza kwa kazi nzuri ya kuendeleza libeneke kiupiganaji kabisa.
Ni muda mrefu sana nimekuwa nikiendeleza libeneke kwa maswala mbali mbali, sasa baada ya kupata uzoefu nimeamua kuhamishia libeneke kwenye jopo la wadau wanaotumia kiswahili kama lugha kuu ya mawasiliano yaani waswahili...
Napatikana katika mtaa uitwao
ict-tz.blogspot.com
Blog hiyo inalenga zaidi maswala ya habari, mawasiliano na teknolojia.Karibu mkuu wa nanihii na wadau wote tuendeleze libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...