HABARI ZA KAZI KAKA.
NATUMAI HUJAMBO NAWAENDELEA VYEMA NA SHUGHULI ZAKO ZA KAWAIDA, NDUGU YANGU NINAOMBA MSAADA WAKO WA KUNITANGAZI BLOG YANGU YA MICHEZO KUPITIA BLOG YAKO.
BLOG YANGU INAITWA
viwanja.blogspot.com
NATUMAI NDUGU YANGU UTANISAIDIA KWA HILO.
NINAKUTAKIA KILA LILILO JEME KWA MWENYEZI MUNGU NA SIKU NJEMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2009

    Hongera kwa blogspot yako lakini audience yako ni ipi? Habari zote hapo ni za ligi za nje ambazo zinapatikana all over online - labda jambo zuri ulilofanya ni kutafsiri kwa kiswahili, na labda ndio hasa audience yako, ukizingatia kwamba wengi wenye internet access wanazo/wanasoma hizi habari tayari online.

    Jambo la kusikitisha ni kwamba hakuna habari yeyote kuhusu viwanja vya TZ wala wachezaji wake walioko nje. Never-the-less, good luck.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...