US President Barack Obama looks at the new IT Dashboard at his secretary's desk outside the Oval Office. White House Photo
Federal Chief Information Officer Vivek Kundra held a live chat yesterday to answer your questions from Facebook and WhiteHouse.gov on technology, information, and transparancy.
He discussed the new IT Dashboard, which enables everybody to look at how the government is spending money for information technology, and allows you to analyze and evaluate these investments. Macon Phillips, Director of White House New Media, moderated the discussion.
Raisi Obama hapo anasema Mbona siipati Michuzi Blog Niendeleze Libeneke? hahahaah. Pazi.
ReplyDeleteNJE YA COMMENT GOAL.COM HENRY JOSEPH ANGARA NORWAY.
ReplyDeletehttp://www.goal.com/en/news/89/africa/2009/07/11/1376573/tanzanian-midfielder-impresses-at-norwegian-club-kongsvister
ah! kumbe binamu naye anaingiaga katika blog ya jamii!!!!!!!!!!!
ReplyDeletelibeneke hoyeeeee!!!
white ya USA ina blogu ambayo ina matukio ya kila siku..
ReplyDeletesio kama ya akina YAKHE...
http://mawasilianoikulu.blogspot.com/
Ujumbe kutoka kwa OBama
ReplyDeleteAfrica tuache kupitisha mabakuli.
Njaa misaada siku hizi itakua mbegu na sio chakula.
Good job
Je Enzi ama zama za uwazi na teke linalokujia (technolojia) za akina Mkapa na sasa kikwete, je transparency kama hii inawezekana? Kuna wazo kama hilo ama ni maneno mtindo mmoja?
ReplyDeleteMICHUZI umeipata hii ya dada yetu?
ReplyDeletehttp://hottestgossip.co.za/?p=8837
Naomba mrushe hewani tumpongeze kwa kupeperusha bendera yetu vizuri, ingawa humo wameashiria kama ni local girl wao(south africa).
Ha ha ha ha ha ha ha!Brother Michuzi,nimefurahi sana baada ya kuona hiyo "Oval" office,nikamkumbuaka yule jamaa hapo kipindi cha nyuma aliyesema umekosea kwamba si "Oval",ila ni "Over view".Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
ReplyDeleteYule jamaa kama anasoma hii,salam zangu zimfikie popote alipo.
Mkulima-Kijijini Gezaulole.
Ina maana mikataba ya TRL, TICTS, Richmond yote inaanikwa hadharani? Hizo sio siri za taifa?
ReplyDelete