Soka la Tanzania limekuwa likikuwa kwa kususasua na miaka ya karibuni tumeshuhudia wachezaji wengi wakienda nje ya nchi kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulikwa wengi wao wamekuwa wakirudi na ahadi za matumaini na wachache kufanikiwa.
Mmoja wa wachezaji chipukizi aliyefanikiwa ni Mchezaji Athuman Idd Machupa aka Gaucho ambaye kwa sasa anacheza soka huko nchini Sweden ambapo anachezea ligi ya Pili kwa Umaarufu na kwa daraja hapo Sweden.
Libeneke la Spoti na Starehe limeongea na Gaucho kuhusu maisha yake ya kisoka na soka la Bongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...