Home
Unlabelled
mama anna kilango malecela alazwa hospitali dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eeeh!vipi tena jamani?Sasa ww Michuzi unasema tu amelazwa lkn husemi tatizo nn.......lol!
ReplyDeleteMkulima-Kijijini Gezaulole
ohhhhhh
ReplyDeletePona haraka mama. Na pole kwa ugonjwa.
ReplyDeleteThat is fact of life, so many people out there are suffering and so sick. all in all we wish her all the best and speed recovery so that she can be back on track to serve us.
ReplyDeleteHiko kitanda mbona kidogo namna hiyo? Maana hapo ukijinyoosha puu utajiskia uko down unakula vumbi.
ReplyDeleteI wish you a quick recovery, we need you Mama.
ReplyDeleteEeh! Kapigwa kipapai na mafisadi nini?
ReplyDeleteUgua pole.
Pole mpiganaji wetu, ila kuwa makini isije kuwa wale jamaa zetu wasiowapenda nyie wapiganaji.
ReplyDeletemimi nakushauli mama punguza kidogo mdomo watakumaliza shauliyako.
ReplyDeleteugua pole mama
ReplyDeleteugua pole mama
ReplyDeleteWadau msipende kujua anaumwa nini wewe muombee kwa Mola apone haraka. Maradhi mengine mkiambiwa hata dawa hamna dawa ya kumpa. Upone haraka mama na Mungu akusaidie.
ReplyDeleteanaumwa kichwa na ni kutokana na mikimiki ya kazi za chama na shughuli zake binafsi. Mdau ulieuliza swali. Hapo amempumzishwa tu usijali.
ReplyDeleteApigwe Kipapai na nani? Labda sio mpare wa Kihurio.. aisee. Maana wale wazee kule Kihurio wanamwita Mama sasa wewe tuma kipapai chako kama hakikumaliza ukoo wako
ReplyDeleteShosti yupo busy sana lazima aumwe
ReplyDeletejamaa wana-test zali, mmh angalia!!!!
ReplyDeleteMama Malecela pole sana. Hii inatokana na kazi nyingi unazofanya kupigania haki za wanyonge. Lakini pia naomba kuuliza: angalia vema wasiku"chifupe"; wasi"kukolimbe"! Mimi nina wasiwasi sana na siasa za Tanzania. Usipokuwa ndio ndio basi...unakuwa kwenye matatizo! Napaza sauti tuu, sielewi yalikujiri mama! Lakini Pole na Mungu akuzidishie amani na upone haraka urudi kwenye "vita ya kupigana na mafisadi wanaokula ""nji"" yetu.
ReplyDeletemama kilano pole!!weshakuwahi haoo..pona mama urudi bungeni uwapashe!!jamani msituulie mpare wetu eheeee
ReplyDeleteYeye ni binadamu,kuumwa ni kawaida, ila tu tutakosa msemaji mzuri bungeni.
ReplyDeleteHaya mmeanza tena, mbona wabunge wanopigania haki za wananchi ndiyo wanapatwa na magonjwa wakiwa bungeni? Mnakumbuka Amina Chifupa, ilianza kama utani mara tukasikia anaumwa na haiukupita mwezi akatutoka. Inshallah tunakuombea upone na urudi kuendeleza kazi ya kugombea haki ya mali za watanzania. Hao wachawi hawana chao!!!!!!!
ReplyDeleteMbona hawajampeleka sauzi afrika au kwa kuwa anawalipua???/
ReplyDeleteMBONA HAKUNA MAMBO YA KULIPUANA MAHALI POPOTE DUNIAN? NI TZ TU ALL THE TIME! POLE MAMA, . WATOE HAYO WALA RUSHWA OUT,. MWENZUNU OBAMA KACHAGUA KWENDA GHANA! HAKUNA MCHEZO HUKO. TOO MUCH RUSHWA TZ NAOMBA ASIKANYAGE MAANAKE ATAPATA PRESSURE BURE
ReplyDeleteKalazwa kwa ajili ya matibabu!!Matibabu ya Ugonjwa gani au hatupaswi kufahamu??
ReplyDeletePicha ya mwisho kwenye blog hii nilimuona Mheshimiwa akisema kuwa anainyemelea ...... sasa imekuwaje au ndio wanataka kumuwai kabla hajasema?
ReplyDeleteJe Bwn Issa huja cover harusi ya Bwn Jerry Muro!! Unajua sisi tunakuaminia kwa coverrage ya matukio kama hayo, kazi njema!!!!
ReplyDelete