iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia nchini (TBL)kwa ajili ya wabunge kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo. Katikati ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia
na Watoto, Mh. Margaret Sitta na Kulia ni Naibu wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mh. Joel
Bendera
Naona Maza kaanza kupiga viwalo. Watu mlichonga sana ooh maza hapigi pamba. Sasa naona ni mwendo mdundo tu. Hongera Mama Tunu.
ReplyDeleteMshauri wa mavazi wa kina Pinda navulia kofia
ReplyDeleteyaani mama poa huyo! pinda umepata kweli. I like her a lot she is very natural, and relax! hakuna mambo ya magold wala mkorogo! ni wakuigwa huyo! mcheki akicheka, pia na wewe utatoa tabasam ukimwangalia! God bless and her family
ReplyDelete..Sidhani kama Bongo kuna baridi kiasi hiki, Mshauri uko wapi bwana mmeremetishe mama!
ReplyDeleteweeh asikwambie mtu Dodoma sasa hivi mpka sept/oct kuna baridi la kufa mtu na party za mjengoni zinafanyikia nje , yaani hata kilaji hakishuki vizuri
ReplyDelete