Home
Unlabelled
mama salma kikwete ziarani shinyanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni wa mama wa Shinyanga, kwani mnang'ara yaonekana mambo si mabaya.
ReplyDeletewatu wanaosema vitambi vitambi ooo chuzi punguza tumbo ebo hio ndo miili yetu ya kiafrika unaona mmama alivoshiba pale
ReplyDeleteYah,heri mimi sijasema : 2Mama Kikwete= mama Nanihii
ReplyDeletemiili minene ipo sehemu zote duniani,lakini ukweli ni kwamba sio afya na ni matatizo makubwa kifya,ila kwa kuwa jamii ya kiafrika imezoea kuishi maisha ya dhiki,hivyo wengi hupima halinzuri ya maisha kwa kuangalia unene wa mwili wake. lakini kusema ukweli na bila kumbeza mtu,huu ni ushauri wa bure tu, jitahidini kupunguza mafuta ni hatari sana kwa afya!!! na kama unapata nafasi ya kwenda gym ni bora pia kuushep mwili wako upendeze na uvutie. mambo ya 50/50/100 yalikuwa ya zamani wakati elimu ya afya ilikuwa haijafahamika vizuri kuhusu madhara ya unene.
ReplyDeleteni hayo tu,asanteni.
Kweli hawa wamama ni 4 bay 4 by waaaa!!!hongereni jamani kwa kujaliwa unene..mdau norway
ReplyDelete