Mdau katuletea taswira hii ya mlima ulioko Stetind kaskazini ya Norway ambao una urefu wa mita 1400 na kwamba watalii wengi sana hutembelea kipindi hiki cha kiangazi wakitokesummer wanatokea ujerumani,ufaransa na italy. Mdau anaeleza kwamba mlima ulifunguliwa rasmi na Mfalme Herald mwaka 2001 na anatukaribisha wadau tutembelee. Globu ya Jamii, ambayo haibagui na wala haichagui, inamwambia mdau kwamba inshaallah iko siku tutatia timu huko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2009

    Unaposema umefunguliwa rasmi ina maana haukuwepo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2009

    Sasa hiyo milima kwani kwetu hapako?ah mswahili bwana cha kukisifia kisicho chako yakhe!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2009

    Wewe mdau wa Norway badala ya kutanganza Mlima wa nyumbani kwenu Kilimanjaro unatangaza milima ya nchi za watu huo sio uzalendo na hauipendi nchi yako.
    Kwahiyo unataka sisi wabongo tuje kupanda mlima huo wa Norway wakati wa kwetu uliopo nyumbani hatujawahi kuupanda!!!
    Mdau USA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2009

    yakhe tukumbuke kwenda na makoti huko ati, wajua bardi kali mwe.
    mwacheni kila mtu antumi huru wake, kutangaza maoni ati kama weye wataka tangaza mlima wa bongo anza sasa ati. mie naja bdae uko pia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2009

    MNA KISIFIA HICHO KICHUGUU!!
    MIMI NATOKEA MBEYA, MJI WENYEWE UKO 1400 METRES ABOVE SEA LEVEL.
    UKIENDA UPOROTO AU KITULO NDO ZAIDI YA 2000M ASL.
    BY COMPARISON MLIMA KILIMANJARO NI ZAIDI YA 5000M ASL
    WAAMBIE WA NORWAY WATAJAZA!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2009

    mnamwonea wivu!!!heheehehhe

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 10, 2009

    mwenzenu keshajilipua. anatangaza vya nchi yake sasa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2009

    Waambie anony julai 09 05:51,kwetu hizo heights ni kitu cha kawa,watu wanapanda daily.NA WEWE MLIMA WA NORWAY UNUSAIDIA NINI SISI?WAPI ZAMANI,sasa sisi tufanyaje?tuje tuspendi sauzandz ovu dolasi kwa view kama hiyo while i could just drive through Kitonga with a picturesque view almost the same weather minus the snow,we duwanzi kweli.ndo nyie mnawaambiaga wazungu kwetu kuna shida ukifikiri atasympathise nawe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...