kamuone daktari wa macho haraka kama picha hii unaiona dabodabo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2009

    hahahaha duh hii nafikiri si kumuona daktari bali kuzimua tu kwa kongoroz!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2009

    mama yako ni dakitari?

    ReplyDelete
  3. dah mimi ndo wakwanza kumwona Dr. picha naona imejitokeza zaidi ya mara mbili

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2009

    wewe umeonaje kuwa twaiona dabodabo kama we pia hujaiona dabodabo. kwa sababu haiyumbi machoni[pallarex] haina haja ya kumwona dr, japo nilipoiangalia mara ya kwanza, kabla sijasoma maneno yako, nilifikiri macho yangu yana matatizo. safi sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2009

    MR BEAN KUTUMBUIZA KIKAO CHA WANA CCM UK JUMAPILI 26/7/09?
    ALIIGIZA KUHUSU SERENGETI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2009

    Tehe! Teheee!! Watu wengine siku hizi kumwona Dr. sawa tatizo kupokea majibu, maana dr hataishia kwenye macho tu, ataanza na uchokozi mwingine kwa manufaa yako kwamba asije akatibu dalili badala ya tatizo lenyewe. Vile vile hata wewe mtoa picha ni nyema utujulishe unaendeleaje na dozi yako.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2009

    tih tih kwi kwiiii

    yani kuna wehu humu??
    yan siwezi ata angalia mara ya tatu,macho na kichwa kwishnei kabisa apa,,,so wote umu tuna matatizo ya macho?

    umeidesea wapi??mana niliiona mahal

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2009

    Wow! I blinked several times before I got the joke here......
    Nilidhani macho yangu machafu nikawa najaribu kuondoa utando

    Safi sana..this is amazing.

    J.
    T.O.

    ReplyDelete
  9. kweli kaka Michuzi nikamuone Dr ?hii picha inaonekana mara mbili uani mwaingine bwana!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 23, 2009

    INAMAANA WATU WOTE WALIOCHANGIA KTK PICHA HII NI KWAMBA HAWAELEWI KILICHO FANYWA AU WAMEFURAHISHWA TU NA UTANI ULIOPO KUHUSU PICHA?nadhani jibu la pili huenda kwao ndio sahihi.maana kwangu binafsi sijaona kinachochekesha hapa zaidi ya photoshop iliyofanyika na tangu nilipo iona at the first instance wala sija blink maana it was clear is a photoshop.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2009

    wat wengine kwa kujifana wataalam hadi wanatia chumvi inazidi, kwa mfano huyo anon wa trh 22july saa 11:48 AM kajifanya anafahamu sana haya mambo ya matatizo ya macho,matokeo yake kaibuka na msamiati mpya wa PALLAREX!!heh!heh!heh! haya mie sijui au ulikuwa unakusudia kusema PARALLAXIS(origin.grk)=parallax(eng)? au ulivyo jua kuna polaroids basi ukajua pia ni pallarex?sijui bwana huenda mwenzetu uko deep zaidi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 23, 2009

    THERE IS NO STUPID QUESTION, KUULIZA SI UJINGA-NILIWAHI KUAMBIWA KWAMBA MR BEAN katika real life pia ni kama anavyo-act, eti kazi anayoifanya imemuathiri kiakili mpaka amekuwa kama 'mentali' fulani, kuna ukweli wowote labda kwa waliowahi kumuona live au kusikia habari zake kwa ukaribu?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 23, 2009

    yakhe msijitie vidole kwenye macho buree. huyu ni arsene wenger anafikiria jinsi atakvyoshuka daraja msimu huu.
    hope you like it guuys.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...