TOMORROW FRIAY THIS JULY 31st MR GONGA & JAY P ARE HOSTING THE HOTTEST OF ALL TIME HOME COMING BROTHERS AND SISTERS STRICTLY WHITE PARTY (AT LEAST 75% WHITE GEAR TO GET IN, IT WILL BE ENFORCED) AT MOVEN PICK, KIBO BAR, DAR!

FAKERS WILL COME WITH THEIR WHITE PARTIES (U KNOW THEM) BUT THIS HERE IS THE REMIX!!!

DJ STEVE B & DJ PETER MO ON THE 1s AND 2s FEATURING OTHER GUEST DJ'S!!


SUPRISE CELEB GUESTS (2) AND BEST DRESSED FEMALE IN WHITE WILL BE PICKED BY TANZANIA'S OWN TOP MODELS....

DONT MISS THIS ONCE A YEAR EVENT BABY,
ONLY JULY 31st!!

SPECIAL THANKS TO:

AME Business Solutions Ltd
and Gonga Wear
Martin Jump Around

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2009

    Celebs All Dar Young Africans and Simba Sports clubs + SHAQ + KOBE
    Watakuwepo Kijiji cha makumbusho na Mbagala mtoni kwa Binti Matola!
    hiyo ni Kitenge Party! just kidding, White party hazikuanza leo! Kwa hiyo Original White party iko Moven Pic sio? Kweli hili ni wazo jipya lazima tukacheki hiyo white party si hata mtu ukijipakaa chokaa ni poa?!! Tangazia ITV/DTV pia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2009

    hivi michuzi na wadau have you ever asked yourselves what africans living abroad do? i mean what are their occupations out there? na kwa nini wakirudi home bongo wanataka kila mtu ajue wanaishi ulaya wakati hamna kitu cha maana wanachofanya huko, wengi badala ya kuendelea kusoma huko waliko, kazi yao ni starehe tu na kazi wanazoweza kufanya kutokana na elimu yao ndogo ni usafi na kuzoa taka tu, sasa hawa homecoming brothers and sisters ndio wale wale au?

    what am simply saying is....tukipata chance ya kuishi ulaya tujitahidi tutumie hiyo opportunity kwa kujiendeleza ki elimu manake kwa nchi nyingi kwa mfano scandinavia, kama una makaratasi kusoma ni bure tu, sio ukipata pound elfu 3 unarudi bongo kujirusha tu wakati huna hata elimu..........hiyo kazi ya kuzoa taka ukikosa utafanyeje?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2009

    Kwa kweli hili linasikitisha. nilithani for exposure they have, they could have called young guys and share with them life skills and fact that home is where you belong. Obama just reminded us three weeks ago''The future of Africa belongs to Africa". We have to change buddies, frankly let us grow up. Why waste time and resources for something useless!. Soon we are going to hear bottle party and organiser to claim for the first time. ''Let us prepare youth for the future instead of preparing future for the youth''.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2009

    ndio maana bongo tutaendelea kubaki nyuma, am not hating but i happen to know the organisers of the event n what they do abroad.....hamna kitu kabisa, baadala ya kupigana wapate hata certificate ya course yoyote wanapignia kurudi bongo vacation kwa vijihela wanavyopata huku....very depressing i tell you.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2009

    Hapo hamna ishu ni ubishoo tu. Hahaha! unafikiri ukibeba sana box utakua creative zaidi ya kutaka show off.
    very depressing na msupport ananymous

    Hawa jamaa kila kukicha ni kujitangaza ka mademu vile, tumewachoka States na Bongo tafuteni ishu za kufanya!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2009

    Mbona wadau mnakuwa na mtimanyongo namna hiyo?Shule si ya kila mtu kuna watu walipata ziro form 4.Walikuja State n'lucky enough wameweza kujimudu.Sasa wakienda Tz likizo wanaona raha kujumuika na wenzao,ni miaka mingi.Mimi binafsi siwajui hawa watu lakini cha muhimu ni kwamba MIND YOUR OWN BUSINESS.Si kila mtu anauwezo wa kuwa na AA(associate degree)Bsc.MBA.or PHD.Maisha nivile unavyoamua wewe,yeye kufanya kazi anayofanya hujui ni kwanini?Ulitaka abaki Tz akuibie mizigo yako Airport au akupore kariakoo?
    Ninaelewa shule ya Ulaya ikoje been there,international student tuition sio mchezo.Kama wazazi wako ni watenda haki Tanzania nina maana hawali rushwa..wanakofanya kazi hawawezi kusomesha watoto US or Uk.Wafanyabiashara halali wanaweza kufanya hivyo.Je wajua hao vijana wamepitia mangapi hadi kuweza kuwa hapo walipo leo?Kuwa na makaratasi hata ya kurudi nyumbani?Nyie wengine mnao waponda msikute hata kwenu hamjakanyanga for good 10yrs.Kama unasoma soma,tafuta kazi(ubaguliwe kwanza)kama sio nurse or phamasisti kazi unayo ya kusemeshana na wazungu.Ni hayo tu Michuzi nawakilisha.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2009

    Sisi wabongo ni kawaida yetu kuua jambo linalofanywa na mtu unaye mjua na hatuwezi kutoa sifa,jamani hii ni starehe km nyingine tu yaani sio lzm uende km mtu inakuboa,sasa maneno ya maisha/shule/cjui ulaya yametoka wapi...angefanya mzungu wasinge tia maneno hapo!kwanza cc tunaenda ku enyoj music hao madj ni wakali!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...