watoto yatima wanaolelewa na CCP katika michezo
Wadau kunradhi,
Kuna mdau mwenzetu aliyeko Uganda (aka ukweni) anaomba msaada wa wadau wa globu ya jamii kupigia kura organization ya
kwa kubofya hapa:
/events/trust-of-the-month
ili kuweza kuendeleza libeneke la kusaidia watoto huko ukweni.

Ukibofya hiyo link itakupeleka kwenye tovuti ya hilo shindano nawe cha kufanya ni kubofya jina la Christian Childcare Program na kisha bofya 'Vote'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...