SHOW ZILIFANYIKA TAREHE 24 SUMBAWANGA UKUMBI UPENDO HALL, TAREHE 25 MBEYA UWANJA WA SOKOINE
NA TAR 26 IRINGA UWANJA WA SAMORA,
TOUR ITAENDELEA
TAREHE 8 MWEZI WA 8 KATIKA MKOA WA MOROGORO KWENYE VIWANJA VYA NANE NANE MCHANA NA USIKU KWENYE UKUMBI WA BWALO LA UMWEMA NA
TAREHE 9 MJINI DODOMA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MCHANA,
TAREHE 14 TOUR ITANDELE MJINI MOMBASA KATIKA UKUMBI WA JAMBOREE, NA
TAREHE 15 MOMBASA KATIKA UWANJA WA COAST CAR PARK
TAREHE 16 MJINI TANGA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI,WASANII WATAOKUWEPO NI TMK WANAUME FAMILY,MH TEMBA,CHEGE,KR,STICKO,ZOZO,TRIPPLE,LAKEEZ,KICHWA NA MKUBWA FELLA,TIP TOP CONNECTION,MADEE,KASSIM,KEYSHA,TUNDAMAN,SPACK
WATAKAOSINDIKIZA NI MANGWEA NA BERRYBLACK KUTOKA ZANZIBAR
wanasiasa wanautamani huu mkusanyiko lakini sdhani kama kuna mtanzania atakaa tena juani kusikiliza mbwembwe na fix, bora wanmuziki waanze kujipanga waje kula hela za wasanii, sasa nishaelewa kwanini wasanii ndo walikuwa wa kwanza kupongezwa na kuitwa ikulu kwa shukrani JK, alikuwa anatoa hotuba afu jumanature anapiga dar mpk moro then anaendelea na hotuba vinginevyo asingepata watu
ReplyDeleteHawa wasanii wanafanya kazi nzuri. Kupata umati kama huo ni dalili nzuri. Kila la heri vijana, funza jamii pia kwa kuimba nyimbo zenye maadili mema. We will back you up one day, FirePower, UK
ReplyDeleteNIMESHAANGALIA MARA NYINGI KUMBI NYINGI NAONA VIKUNDI HIVI KAMA TMK WANAUME HALISI WASHABIKI WAO KARIBU WOTE NI WANAUME TU AU NI MACHO YANGU
ReplyDeleteWatanzania tunajitahidi kuupenda muziki wetu...
ReplyDeleteChana mistari vijana mnafanya kazi nzuri! Ngwea nakuaminia mwanangu! Kaka yako wa mazengo!!!!
ReplyDeleteAh,niangaliapo hizi picha nakumbuka bongo kwelikweli,,Sijui nikate visa leo nije! myaka 12 bila kuwa bongo uchungu umeniuwa...box tuuuuuuu.
ReplyDeleteeti MTOTO WA KICHAGGA,wenzenu wakati huu wanafikiria jinsi gani ya kuweka utaifa mbele wewe unafikiria Ukabila,hii ni hatari,kundi la Wanaume Familly limekuwa kundi lililojikusanyia vijana wa makabila mbli mbali na kuonesha sura halisi ya utaifa hata likaondolkea kupendwa sana lakini sasa naona ukabila unalizonga kiasi hata wengine wanamua kujitoa.Hukukosea bwana Temba ulipoimba mwaka wa shetani,nani alaumiwe,mimi nakulaumu wewe kwa kumleta shetani wa ukabila ambaye mimi na wananchi wapenda utaifa tumekuwa tukimkemea!Katu usipende kuchafua watu kwa umaarufu wako.Kwa ushauri tu album yako ungeipa jina la MTOTO WA KITANZANIA ungefunika sana,au ushaona kuna nchi ya jirani mwanamziki akifagilia kabila?
ReplyDelete