wadau wa klabu ya masumbwi ya Aurora wakila tizi kwenye bustani ya gadeni ya posta ya zamani jijina dar leo kujiandaa kwa mpambano wa ubingwa wa juu (Kilo 91) kati ya
Awadhi Tamim na Ashraf Selemani ukumbi wa DDC Mlimano Park Mwenge, Dar.
Most read Swahili blog on earth
wadau wa klabu ya masumbwi ya Aurora wakila tizi kwenye bustani ya gadeni ya posta ya zamani jijina dar leo kujiandaa kwa mpambano wa ubingwa wa juu (Kilo 91) kati ya
Awadhi Tamim na Ashraf Selemani ukumbi wa DDC Mlimano Park Mwenge, Dar.
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli hawa jamaa wana miili mizuri sana ya mazoezi, mimi pia ni mwana mazoezi, ila kutokana na upeo wangu hawa jamaa bado ni wazito sana sana,wafanye mazoezi sana ya kuwafanya wawe wepesi, ili waweze kukabiliana na mashindano ya kimataifa.vingi nevyo itakuwa ngumu sana kwa wao kupata ushindi kimataifa.
ReplyDelete...haha haha haha yaani hawa wasubiri kipigo tuu,yaani ukiangalia vizuri hawana stamina kabisa wala know how yeyote zaidi ya kurusha mangumi tuu,hawa kipigo kinawasubiri tuu,na ningekuwa na uwezo ningewatafutia sehemu ya mazoezi maana wamenitia huruma sana
ReplyDeleteUzito wao uko freshi tu, wanahitaji kufanya mazoezi zaidi katika foot work! Wana miili mizuri.
ReplyDeleteTafuteni gym mfanyie mazoezi mnatuharibia bustani.
ReplyDeletemnaonekana wazito sana. Mnafanya sana mazoezi ya kujaza miili mnasahau technic za ngumi.
Michuzi naomba uturekodie pambano hilo kisha ulimwage kwenye globu ya jamii tutoe maoni yetu hasa sisi ambao tumezoea kuwaangalia live games za kina Amir khan na wengineo. Ningekuwa home ningejitahidi kuja kuangalia.
Huyu Awadh Tamimu amerudi lini tena? Si ndie aliyeingia mitini huko northern Europe badala ya kupigana kwenye mtoano wa kuwania taji fulani hivi?
ReplyDeleteSo yupo bongo kuendelea na libeneke, sio? Gud for hime - east, west, home is best.....so they say!!!
Wadau acheni upumbavu, hii haitoshi kupima viwango vyao kama stamina, footwork, combinations, n.k. Wamesema kuwa dhumuni lao ni kuhamasisha mchezo wa ndondi kwa wananchi wa kawaida, kwa hiyo sidhani kama hiyo ndiyo "intensive workout session".
ReplyDeleteMimi nafikili ni vizuri sana wanavyofanya kwa kuwa lengo lao ni kuhamasisha wananchi kuupenda mchezo wa ngumi.
ReplyDeleteUnajua ni mchezo ambao wengi awaupendi na hawako tayari kwenda kuuwangalia, hivyo ikitolewa hamasa ya kutosha watu wanaweza kuupenda na kuushabikia.
sipendelei aya maswala...
ReplyDeleteend unakua zezeta