Waziri Mku Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Bahati Nasibu ya Taifa Bw. Abbas Tarimba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2009

    Wamependeza sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2009

    swala la wanaume kushikana mikono noma kiasi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2009

    wamependeza kweri kweri mambo ya mujini

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2009

    nice picture ,nampenda sana abbas tarimba ni mtu mwenye msimamo na busara namkumbuka sana alipokuwa yanga hakupenda kuyumbishwa he always stand on what he belive hopefully now he want to be MP in 2010 .big up man and keep it up we are all behind you

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2009

    michuzi umebania comment yangu lakini ukumbuke kua tuna wajibu wa kukumbushana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2009

    wewe anony huko juu, swala la wanaume kushikana mikono haina maana yoyote mbaya kiafrika, usitake kujifanya utamaduni wa kizungu umeuzoea sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2009

    Kushikana mikono wanaume Afrika ni kawaida. Msitake kuleta mambo ya Wamerekani hapa

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2009

    wee anon Thu Jul 30, 09:30:00 pm

    kushikana mikono ni utamaduni wetu watanzania.

    Labda kama wewe unaishi ughaibuni tatizo ni la kwako.

    umoja ni nguvu utengano mdhaifu, vyote hivi kama unataka kuonyesha ishara ya mshikamano, lazima huwa inatakiwa kushikana mikono na kunyosha juu kwa pamoja.
    ni hayo tu

    P.E.D

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 31, 2009

    ooooh boy ingekuwa ni nchi za magharibi kushikana mikono kwa wanaume kuleta zogo kali sana. Lakini ndo utamaduni wetu wabongo huko hakuna noma lakini western!!!!!!!!!!!
    Mdau USA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 31, 2009

    Bonge la endorsment hilo! Naona Mh. nanihii wa jimbo la nanihii hapa Dar kijasho kitamtoka kwenye nominations!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 31, 2009

    Wapendeza...yaani huyu Abbas Tarimba amekuwa kwenye nafasi ya ukurugenzi wa Bahati Nasibu kwa miaka mingi mno...he must be very effective...ni tofauti na viongozi wengi ambao wameshirikia taasisi za umma kwa muda tu...hongera!

    ReplyDelete
  12. Al MusomaJuly 31, 2009

    Mikonoz? I would only worry if it was Tony Blair and Richard Branson. Then it would all over the tabloids and those unorthodox groups would have had something to cheer about. But it is our own demostration of cultural independence. Whoever thinks that is wrong, s/he must a product of what Walter Rodney referred to as "...the education for surbodination...and the creation of mental confusion."

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 31, 2009

    Hivi Bwana Abass Tarimba alisoma Nyegezi miaka ya tisini? somebody let me know if its him or not sura siyo ngeni hii. Picha imetulia, imekwenda shule well done mpiga pix.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 31, 2009

    Ama kweli sisi wengine ni watu mbumbumbu. Mawazo yetu ni finyu kiasi tunakimbilia kuwaza ya juu juu. Ndipo hata Mzungu alisema zamani kwamba mwafrika ukampa kinywaji tu ameuza nchi, anabakia akikenua meno huku wavuna midhahabu na mimadini na nyara kibao. Tusiangalie vya nje badala ya kuangalia mustakabadhi mzima. je nanihii wakipendeza (ndio kuna kupendeza) wazia pia undani zaidi ya kupendeza. Je Obama akikaa na so and so, je kuna nini cha undani kiaendelea? Je Obama anakumbatia akina nani kama anaonekana anavinjari na kibopa huko Marekani? Je kuna ajenda ya siri pale? SIo kuona Obama amependeza tu lakini jua kilicho ndani na uwe mjuzi wa kuchambua mambo usije jikuta unabakia ukikenua vijimeno na huku waliwa Yakhe

    ReplyDelete
  15. MtafakariJuly 31, 2009

    Well kwani dunia na tamaduni hubadilika na kukua na zile za zamani huachwa na mpya hujijenga miongoni mwetu, kwa sasa iwe africa au Ughaibuni swala la wanaume kutembea huku wakiwa wameshikana mikono, lazima litaleta utata na njio maana mnalitetea kwani mioyo na fikra zimeguswa.

    ReplyDelete
  16. Wanameremeta

    ReplyDelete
  17. huyo mdau wa pili mwambie ache ubwege kushikana mikono ni jambo la kawaida tu kwa utamaduni wala sio jambo la kushaa kabla ajatoka bongo mbona watu walikuwa wanamshika mkono na atuseme?

    ReplyDelete
  18. Clash of Civilization?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...