
Shindano la kumtafuta sexiest man in Dar linafikia mwisho siku ya alhamis ambapo mshindi atatangazwa kupitia kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa hewani na mtoto wangu wa Pekee Loveness Love.
Washiriki wa shindano hilo ambao ni Luca wa Bongo 5,Benny wa Photo Point,Abba,Mwinyi,Moraka,Hemed ndio waliofikia fainali na kati ya hao mmoja wapo ndiye atakayetoka mshindi.
Shukrani za pekee ziwafikie Steps entertainment,new ck hair design,makoba,biigie respect,home shopping centre,isham,midcom,air Tanzania and Clouds Fm radio kwakuwa ndio wadhamini wa Shindano hilo…
habari kamili pamoja na mambo mengine..
habari hii imeletwa na libeneke jipya la:
Abba kaka'angu, hilo pozi la u-sexy mbona limekaa kama vile unataka kutapika? Sijanogewa!!!
ReplyDeleteNi ABBA Tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteUpuuzi mtupu, katafuteni kazi ya maana.
ReplyDeleteafter much has been said and done,
ReplyDeletei dont support whatever this is, however you want to defend it and not because am hating, because it's simply a belittling idea even to the men who parade their faces for that, the ideal sexiest man, shouldnt have ladylike features, he should be mannish, muscles, dark, tanned and not the ones that were shown previously that is sexiest for men, however....my sexiest man is already married to me 8 years back so am wondering whats all the fuss about this, i dont get it ..no matter how good you will try to sugar coat it, simply its just childish
Hili tatangazo au taarifa ,limetolewa au imetolewa kwa kiswahili,mbona kiini cha ujumbe mmeweka kwa kiingereza? (sexiest) au mmeficha ukali wa neno katika lugha ya kiswahili.Naomba mtumie kiswahili ili tujue hasa mnachokitafuta,maana jamii ya kitanzania inataka iwe na uelewa wa kutosha kwa kile mnachokifanya.
ReplyDeletekazi kweli kweli,shule huongeza uwezo wa kufikiri jamani!kuweni wabunifu ndugu zangu.
ReplyDeleteDu, hii kali, yaani sexiest men in Dar?, No, this is not what we want our future generation to be like, Big NO
ReplyDeleteI support the show sexiest man in dar, likini mbona wanawachukua tu macelebrete badala ya kutafuta kama walivyo mamiss kila kona? anyway I like men with big chest and misuli.s halafu awe mweusi kweli kweli na ka mustachi, wanaume weupe balaa, wanashinda kwenye kioo
ReplyDeletesexiest man=
ReplyDelete1.mwanaume mwenye mvuto
2.mwanaume mwenye haiba
3.mwanaume mwenye "nguvu"
4.mwanaume mwenye uwezo-general
5.mwanaume rijali
6.mwanaume kamili
7.mwanaume mwenye akili/uwezo
8.---------- malizieni kujaza wadau mana sielewi hata kidogo
kaaazi kweeeli
afu ayo malemba mnayovaa shingoni siku izi,sii ndio hijab za waarabu au waislam wanazoingianazo masjid?
ReplyDeletemh izi fasheni
THERE IS NOTHING LIKE SEXIEST MAN OR WOMAN, NI UZINZI TU NA UBISHOO MNAOUENDEKEZA NYIE WENYE AKILI FUPI.Badala ya kuwaza maendeleo mnawaza u-sexiest! Life is more than sex. You are the sexiest to your husand or wife, BF or GF, you can not be that to the public! IGENI VITU VYA MAANA SIO KILA RUBISH ILI MRADI IMEFANYIKA KATIKA NCHI ILIYOENDELEA. You guys shame on you for participating into such a foolish game!
ReplyDeletehayo matambara ya shingoni jmani wenzenu tunayavaa huku urusi kwaajili ya baridi na scandinavia countries na huwezi kumkuta mtu kajifunga mtambara kipindi hiki cha summer ,sasa bongo mshabeba imekuwa ni fashion na joto loto lile haya twendeni tu tutafika sie yetu macho
ReplyDeleteanonys wa2 hapo juu bongo huwa wana COPY na ku PASTE kila kitu ni vituko basi tu kwa joto la Dar mtu anadunda na tambala hilo sijui utamfikiriaje.hamkushangaa wale wanaovaa mabuti ya baridi?
ReplyDeleteHUU NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU..Kwa hiyo creative thinking ndo imeishia hapa??!! tumekwisha. TUSUBIRI "SEND OFF" YA ATAKEYESHINDA.
ReplyDeletemdau chiggs, deslam
Tuna CUT na ku PASTE lakini mbona mnatuzimia na katika anga tunatamba??? Acheni ukulima!
ReplyDelete