taswira ya mchoro unaoonesha jinsi jengo la ubalozi wetu jijini nairobi kwa watani wa jadi utavyokuwa baada ya kukamilika.

kwa mujibu wa wahusika jengo hilo litakuwa linatumika kama ubalozi, kitega uchumi na pia kutakuwa na kituo cha biashara na uwekezaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2009

    Shut up!!! Is just gorgeous walivyokuwa na roho ya kwanini na dharau wanaweza hata wasirent homo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2009

    JAMANI HIVI WADAU WENZANGU MNAONAJE HUU MUELEKEO WA HIZI NCHI MBILI KUHUSU KUJENGA HIZI BALOZI.
    ANGALIA KENYA INGAWA NIMEONA UBALOZI WAO MPYA HAPO BONGO KWENYE PICHA TU LAKINI NI MKUBWA MNO, NASHANGAA KAMA KWELI WAKENYA WANAITAJI UBALOZI MKUBWA KIASI HICHO UKITILIA MAANANI MATATIZO YA KIUCHUMI WALIYONAYO.ILA WANAWEZA JITETEA KWAMBA TANZANIA NI NCHI NATURAL RESOURCES NYINGI KWAHIYO NI NJIA MOJA WAPO YA KUPATA HIYO KEKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE...
    TURUDI KWENYE PLAN YETU YA UBALOZI HAPO JUU KWA KWELI HATUNA SABABU YA AINA YEYOTE KUJENGA UBALOZI MKUBWA KIASI HIZI FEDHA ZINAWEZA KUTUMIKA SEHEMU NYINGINE TANZANIA. KWA HAWA JAMA WATADUNDANA HIVI KARIBUNI NA WANAWEZA CHOMA UBALOZI WETU PIA.
    NATOA HOJA....
    MDAU

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2009

    Badala ya kujenga jengo hili tanzania na ke-create office space tunaenda kujenga Nairobi. Hivi tutajifunza mpk lini? dar hamna dicent office spaces why dont we build a stock exchange center of this beauty?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2009

    Waswahili bwana! kitu kama hicho kwanini tusikijenge kwetu?????
    Jamani inatia hasira duh!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2009

    Kwani ubalozi wetu kwa sasa wanatumia jengo gani? Tunaomba tulione ili tujue kama kuna haja ya kuwa na lingine.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2009

    Anony 09.34>00 Am, sio waswahili wana kwanini sioni mantiki ya kujenga jengo hilo Nairobi it is like beautifzing the ur neighbours house while yours is collapsing! we need such investments here in TZ either Mwanza, Dar or Arusha. Do you like to see barrick gold having its Africa regional offices in Jburg while they have more mines in TZ than any other country in Africa? why dont we build such a building in Mwanza so that we rent to them to put up an office or in Arusha so that Tanzanite one put up a decent office? that is infrastructure is needed to woo them people! kwa misifa yetu badala ya kushindana na kulipa jiji sura ya financial hub tunalala . Mswahili ni wewe kwa vile unapenda sifa kutaka kulipa kwa vile amejenga ka-ubalozi! hilo jengo lingekuwa na mana zaidi kama lingejengwa London basi kwa vile returns can be earned in a short time! we have to look at Cost Benefit Analysis! huu nathani ni mradi wa some vigogos ndo mana wana-invest in Nai badala ya kuboresha hata nyumbani!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2009

    Mnh, Aisee utakuwa Bonge la Ubalozi..

    Utasema Ile Hoteli ya 7 Stars Dubai.

    Mi naomba kabisa Mheshimiwa anifikirie, nahamia Kenya Rasmi.

    Tunaomba Vigezo vya Kufanya Kazi kiatika Ubalozi Huo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2009

    Hapo ujenzi lazima upigwe parale, subirini kuona vitu Mbezi Beach. CAG anza kupashapasha moto viungo, kuna mahesabu mazito utalazimika kukagua hapo nchi jirani.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 18, 2009

    WHY????

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 18, 2009

    tanzania house ama umoja house? - halafu 'house'? twajifanya 'swahili nation' majina ya ki'ngredha!..

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 18, 2009

    Unbelievable!! Well, labda tutafika!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 19, 2009

    Je huu ubalozi hautakuwa na aina ya "umahaluMAHALU" ndani yake

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 19, 2009

    kama lengo ni uwekezaji basi tunahitaji majengo kama haya Washington, LA, Ottawa,Sidney au J'burg sio Nairobi. Kupeleka jengo kama hili Nairobi ni sawa na kujenga kiwanda cha Soda Singida, kama watu wanakufa kiu, sasa maji ya kutengeneza soda utapata wapi. Au kiwanda cha Pamba Nachingea.
    Tujenga jengo kama hilo LA tuwaelemishe watalii Kilimanjaro iko Tanzania na sio Kenya.
    Anyway nafikiri maoni yetu ni nothing but U-WV
    Ila huko mbele ya safari watoto wetu watauliza ni nani aliye ruhusu kosa kama hili kutendeka, tutashindwa kuwapa majibu!!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 19, 2009

    nimeshindwa kuelewa point ya kupoteza mamilioni ya pounds kujenga jumba la fahari la namna hii katika nchi ya watu ilhali majengo ya ofisi zetu hapa tanzania hayatamaniki. kadhalika mamilioni hayo yanayotumika kujenga jengo hiliyangelitumika vyema kujenga mashule na kununua vifaa vya mahospitali nchini kuliko kujenga jengo la fahari nje ya nchi.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 19, 2009

    waswahili kwa ubishi bwana Mmeshaambiwa hilo jengo ni kitega uchumi sasa kwa biashara gani iliyoko Mwanza itakaolijaza hilo jengo? Jengo hili linamaanisha, instead of us paying rent, sisi ndio tutakuwa tunacollect rent. Kumbukeni Kenya is the second largest investor in Bongo. Msitishike na number of blocks, this is just a twin tower complex.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 19, 2009

    ee jamani;
    anony 01:47:00
    lengo la sasa ni kufanya afrika iwe moja. si mbaya kuweka hilo jengo nchi jirani. interests za taifa haziko ki-financial tu bali hata ki-siasa. mbona India inapeleka sattelite angani na watu hawana maji ya kutosha? na ni moja kati ya nchi zinazoendelea kwa kasi kiuchumi? kuishi ughaibuni siyo kuwa na haki ya kutukana kila kitu kinachofanyika nyumbani kwenu. mnaharibiwa na hao watu weupe. wanataka kuona tumechokaa ndio wafurahi. wakiona kaofisi au hata kanisa ya gharama utasikia "mmewezaje kujenga hii wakati kuna watu wanakufa njaa?"
    refer Ivorycoast. lakini wao vikampuni vyao vya kuuza magari ndio vya kwanza kuzilazimisha serikali zetu za ki-afrika kununua gari za kifahari; ma-bmw, vx, benz, vough nk. nafikiri mnanielewa haya ni maoni with facts.
    hata mataifa yeney nguvu kama USA kuna watu wana hali duni tu kama siri zilivyofichuka kwenye balaa la katrina kule new orleans; watu hata bank accounts hawana ebo!
    someni, mhitimu vizuri, tafuteni mitaji (nina uhakika wengine mnayo mikubwa tu) mje afrika mfanye mambo. mpande mbegu mlizokuja nazo kutoka huko; hapo ndio kila mtu atahesabiwa talanta zake.
    acheni kukandya wengine hata pointi zenu zinajikanganya zenyewe haijulikani mnachoelezea ni nini ok?
    anony 05:13:00 yaani nakupa BIG UP sina zaidi wewe ni genius.
    tanx

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...