Hii ni kazi ya kwanza ya TID na bendi yake ya TOP toka atoke kifungoni ikiwa ni mojawapo ya vibao kadhaa vitavyopamba albamu yake mpya 'Prison Voice'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2009

    jamaa yuko fresh mziki poa kabisa yaaan big up sasa utulie uache kupiga watu hovyo... maaan sasa hizi usingeimba hiyo asha bila kutoka prison

    ReplyDelete
  2. Nyimbo nzuri na Asha amemuonyesha kwamba mapenzi sio pesa.
    Lakini mbona kaimba TID peke yake na sio top band

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2009

    Dogo TID mziki unauweza big up mwana . kuanzia maneno ,sauti na vyombo vyote vimetulia . tatizo lipo kwenye tabia yako, ya kujifanya mjuaji na mjanja sana ukichangia kubaniwa na maDj na vituo vya redio ndio vinavyokuangusha . dont give up watabana wataachia utafika tu.
    mdau Zee la Bandari Leicester -UK.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2009

    Hivi hawa wasichana warembo wa kutokea kwenye video zenu huwa mnawatoa wapi lakini? mbona barabarani hatuonani nao? na tunatafuta wachumba

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2009

    Good work!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2009

    Only 0.5% ume-dance. The rest ni maigizo. Lets improve it wabongo hatunyanyuki. Too much maigizo kwenye muziki.

    Muziki ni kucheza. kwa atakayependa beats, na hajui maneno atakuwa bored sana kwakuwa kuna movie ya maigizo/majuto badala ya muziki

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 08, 2009

    wewe dogo wa Wed Jul 08, 05:20:00 AM hivi huwa unaangalia video za upande gani duniani? kuna waimbaji tele wanaimba bila ya ku-dance.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 08, 2009

    wewe mdau wa pili unadhani sauti zote unazozisikia ni za TID?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...