Mzee nani hii ,
Please read this link and you will find that Mount Kilimanjaro is among 28 finalists named in the New 7 Wonders of nature poll.
Bwana Michuzi weka katika Blog ya jamii na mwenye kupenda ku-vote baadaye basi afanye hivyo. Hii tu kuwa katika finally ina tangaza jina la Tanzania na ma-tourists. Link ni hii kwa anayependa kusoma:
Mr. Ally
Watu wanataka wauone na wakija tu mnawariza pale Uwanja wa ndege wa Eapot, Sijui kama tutafika Utafikiri atuna serikali!
ReplyDeleteWAOSHA VINYWA TUNAOMBA MTUMIE MUDA WENU NA KWA JAMBO HILI AMBALO NI MUHIMU SANA KWA NNCHI YETU, MAMBO YA WEZI WA AIRPORT BAADAE. TUFANYE UZALENDO JAMANI PLS PLS.
ReplyDeleteKIPEPE
Hata hao wageni wakija kuuona huo mlima Kilimanjaro mtawaibia kwanza hapo eapoti. Bora tusipige kura ili tuwanusuru wageni na mizigo yao. Si tuna ustaarabu, Maana bongo ni noma.....
ReplyDeleteMpiga boxiiiiiz mwandamizi!
Wewe kipepe wazazi wako walijua ndio maana wakakuita kipepe yaani ubongo kichwa viko tofauti Tanzania tuko mamilioni na tunapata fedha za kigeni toka kwa utalii ndio maana kuna wizara husika wao wanafanya juu ya hilo?wangapia wamewahamasisha?mangapi watanzania wanayafanya kwa dhati wamepata shukrani gani?zaidi kuibiwa
ReplyDelete