" FRIDAY THIS JULY 31ST, MR GONGA & JAY P HOST THE HOME COMING BROTHERS AND SISTERS STRICTLY WHITE PARTY (AT LEAST 75% WHITE GEAR TO GET IN, IT WILL BE ENFORCED) AT MOVEN PICK, KIBO BAR!

FAKERS WILL COME WITH THEIR WHITE PARTIES (U KNOW THEM) BUT THIS HERE IS THE REMIX!!!

DJ STEVE B & DJ PETER MO ON THE 1S AND 2S

FEATURING OTHER GUEST DJ'S!!


SUPRICE CELEB GUESTS (2) AND BEST DRESSED FEMALE IN WHITE WILL BE PICKED BY TANZANIA'S OWN TOP MODELS...


DONT MISS THIS ONCE A YEAR EVENT BABY,

ONLY JULY 31ST !!

SPECIAL THANKS TO: AME Business Solutions Ltd


and Gonga Wear.
Martin JP

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2009

    Damn JP,

    Nimekaa Dar mwezi mzima na nusu...hukuandaa lolote, nimeondoka ndio unafanya vitu...haunifai kabisa..!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2009

    Martin umejua kuzikunja hela huko bongo. safi saana zikunje mwanangu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2009

    Bongo people can go to several parties, you dont need to trash Abby's white party for people to come to yours, if she had planned this a long time ago how would you have known?
    Maisha can not stop whatever they are doing just because Bills are doing the same thing, wabongo go to all the places, so stop trashing the classy lady and have some class yourself.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2009

    HII imekaa poa sana jump around,,

    but i have already guess whose gonna be the suprise guest ((its thabeet))ah ah ah wat i know the big man will be in dar on friday ,so guys be there to give some love and claps for him, ait.

    madau toka
    TICTS
    ((S.N.I.P.E.R.))

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2009

    Mdau TICTS ((S.N.I.P.E.R.)),

    Jump Around hakutaja jina mgeni ili iwe "suprise", wewe tako limekuwasha unakuja kumtaja unayemhisi...ili iwe nini sasa.?? Mshamba wa wapi wewe..!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2009

    wababa utoto unawasumbua. ni ubishoo tu utafikiri enzi zile za 'kaenda ng'ambo'.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2009

    (MDAU WA))Tarehe Wed Jul 22, 10:48:00 AM, Mtoa Maoni

    AH AH AH AH AH AH

    NAKUTAKA RADHI KWA KUTOA SIRI HIYO CAUSE NAJUA WATU KAMA KAWA WATA JAA run away kwa ABBY ,hayo mambo mengine nawaachia hasa wewe unayekunwa na kichwa kwa kupenda suprises(LOL)

    MDAU
    ticts
    ((S.N.I.P.E.R))

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2009

    Ninavyojua mimi Party haina kiingilio, inakuwa na waalikwa. sasa hii ni party au disco au fund rising? nasikia kuna kiingilio tuambie tujipange basi

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2009

    Kaka JP, umekuwa p diddy wa bongo na white party? eniwei,nategemea mambo yatakuwa mswano hiyo siku.
    Kila la kheri

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2009

    Wewe Jump around yaani sijui nikupe nini maana mimi naingioa homeTZ tarehe 28 pamoja na wanafunzi wenzangu ambao niko nao huku tuko 32 hawajawai kufika Africa na mimi watakaa siku tano DAR alafu mbili ZNZ alafu wataelekea ARK 3, TANGA 2 alafu wanarudi DAR kwa siku # wakijiandaa kuelekea USA. Wanapenda kula raha sana nahakika wataona kumbe bongo wamo nitakutafuta au kama utakuwa busy sana tutakutana humo ndani ila naomba usalama wa wageni wangu nakuamini kwa hilo JP a.k.a P Diddy
    wa bongo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2009

    mnaalikwa Movenpick pachafu!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 23, 2009

    ya all need 2 go get a life.upuuzi mtupu.go get areal job.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...