Home
Unlabelled
chumba kirefu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I know a lot of people who made fortunes simply by working in there. The good thing was that if you hapened to have gone to school with them, they would let you off their hooks but probably make up on some more unfortunate alien face. What are ethics again?
ReplyDeleteHapo panatisha mkuu wa nanihii! Hao jamaa wanaojiita C&F agents (Wenye Uniform) wana 'conspire' na hao wafanyakazi wa TRA katika kuchelewesha nyaraka kwa makusudi ili utoe rushwa. Ukijifanya mjanja, hayo marundo ya makusudi ya mafaili (karne hii ya saa ya nzi na teke linakujia kwa kasi) na huo umati wa maagenti yanakuwa kisingizio. Ukifikiria storage charges, mwenyewe utasalimu amri. Hivyo ndo maafisa wanavyojenga mabangalow yao Mbezi Beach!
ReplyDeleteSEMA LUGE CHACHA, TUNAONAONA OFFICE YAKO LONG ROOM.
ReplyDeleteFROM HADIJA
longroom ni kituo muhimu kuliko hata bunge maana hapa ndio mzizi wa uchumi maana ukicheza kidogo tuu huna uchumi, wenzetu misaada yote inayokuja inatokana na kodi yao wenyewe,sasa sisi longroom imekuwa kama stockchange .kwa maana waliokuwemu (wafanyanyakzi wa TRA )wanaangalia wanachopata na wafanyabiashara nao wanaangalia wanachopata sasa itakuwa longroom kweli .
ReplyDeleteWee anonymous wa pili acha majungu fala wewe! kila mtu ale shambani kwake. Yaelekea kinakuuma sana kuona mabangaloo yetu eeh???? Kufa na umaskini wako shenzi wee! Maneno kuntu babuuuu! kama malaika wa kheri umewapiga mawe shauri yako...utafulia sana mwaka huu!
ReplyDeleteWee anonymous wa pili acha majungu fala wewe! kila mtu ale shambani kwake. Yaelekea kinakuuma sana kuona mabangaloo yetu eeh???? Kufa na umaskini wako shenzi wee! Maneno kuntu babuuuu! kama malaika wa kheri umewapiga mawe shauri yako...utafulia sana mwaka huu!
ReplyDeletendio lakini bora muache kutengeneza cheque za malipo hewa na kwenda kuchukulia kituo kingine (ofice nyingine) wasiwashiukie.
ReplyDeletemkikamatwa mnakimbilia kwenda kutafuta mkubwa arekebishe, kuna usemi mnatumia aisee bosi naomba unilinde.
mimi sipingi mtu kuwa na bangaluu ila wizi umezidi. kwa nini msifanye business na nyinyi muone uchungu kama wafanya biashara wanavyoona mnavyowaibia.
Hapo panatisha, ukiingia humo tu, yaani ni kama umeingia mahakama ya pesa. Utakuwa unaomba judge wa kukadiria kodi atoe hukumu ya chini, japo wengi hutoa hukumu kali sana hasa kama unajifanya wewe unazijua hela, hutaki kutoa chochote. Ukweli ni kwamba humo kuna mashindano sana. Yaani nani kaondoka na hela nyingi. Niliagiza gari Japan, jamaa wakatishia kui-uplift price kwa $3,000 au niwape $1000 waishushe kwa $2,000 ili kodi iwe $5,000, vinginevyo itakuwa $9000. Ukweli ilibidi nitoe maana haki hakuna pale, unaweza jikuta gari unaliacha bandarini lipigwe mnada.
ReplyDeleteMheshimiwa rais: Nakuomba anza ku-recruit vijana wa Bcom pale UDSM kwanza waingie Usalama wa Taifa, then wamwagwe sehemu hizi kutia discipline. Tatizo lingine na usalama wa Taifa siku hizi wamekuwa na Tamaa na wanashirikiana na wala rushwa, sijui tufanyeje, au Rais wa nchi awe anatoa huduma mwenyewe maana wawakilishi wanamwangusha.
Kama una uchungu mbona hujaandamana Dodoma kwenda kupinga richmond wala hatujakuona mahakamani kuskiliza kesi za EPA?
ReplyDeleteAcha unoko wa kikuda wewe!
hapo balaaa,wanagonga
ReplyDeleteWADAU MLOCHANGIA MADA NA WOTE KWA UJUMLA WENU NI KWAMBA HICHO KITUO CHA FORODHA CHA LONG-ROOM KILISHA FUNGWA TOKEA MARCH 09 BAADA YA KUBADILIKA KWA MFUMO WA UTOAJI MIZIGO AMBAPO MFUMO MPYA WA SASA
ReplyDeleteUNAOJULIKANA KAMA ASY-SCAN WAKALA WA FORODHA AITAJIKI KUFIKA HAPO ANAWAKILISHA DOCUMENTS KWA NJIA YA MTANDAO AKIWA KTK OFISI YAKE.NA BAADA YA KUJIBIWA ANARIPA USHURU BANK NA KUPEWA CLEARANC KWA MTANDAO NA KUELEKEA BANDARINI MOJA KWA MOJA KTK OFFICE ZA FORODHA WHARF KWA AJILI YA KUTOA MZIGO.BY MDAU
NAONA WAPUMBAVU WENGI SANA NA WATU WANAFURAHIA KULA RUSHWA NA KUUMIZA WENGINE,UNAJUA MICHUZI NIIONA HICHO CHUMBA KIREFU NAPATA KICHEFU CHEFU MAANA HAPO HAKUNA HATA MMOJA ALIYE MZURI WOTE NI MAJAMBAZI KAMA WALE WALIUWA WATU NMB TMK,HUMO HATA UKIJIDAI UCHUKUE C&F WA KUELEWEKA BADO UTALIWA TU,KUSEMA UKWELI MIMI SIWAPENDI HATA KIDOGO HAWA JAMAA KAMA KUNA C& F ANAYESOMA HUU UJUMBE UJUE SIKUPENDI UNLESS OTHERWISE UWE MKWELI KWENYE KAZI LAKINI KAMA MBABAISHAJI WE MSHENZI TU.MWAKA JANA NILILETA MAGARI YANGU HAPO NILITAMANI NIMTOE MTU ROHO,NA KAMA UNA CONTAINER UKIENDA TICS NDIO UOZO MTUPU,KUNA MAMA MMOJA PALE TRA JINA (KAPUNI)ANAPENDA RUSHWA SANA KILA MTU ANATAKA KUMKAGULIA YEYE GARI NA AKIKAGUA LAZIMA HELA ZIKUTOKE ATAKUPIGA MIKWARA HIYO MPAKA UTAONA DUNIA CHUNGU ILA SASA HIVI NATAKA NIWA SET WATU KAMA HAO,HAKI YA MUNGU LAZIMA NIMFUKUZISHE MTU KAZI MAJINA NIMECHUKUA YOTE NIKITUA TU BONGO NA CONTAINER LANGU NAWA SET WATU MAANA TUMECHOKA NA UPUUZI HUU,NCHI IMEOZA IMEOZA,SASA NYI C& F KAENI TAYARI RUSHWA SITOI NA DOX ZITAENDA TU WEWE NDIO UTANIAMBIA NANI KAKUTUMA HIYO RUSHWA SASA WEWE NA HUYO WA TRA WOTE MTATIA AKILI.
ReplyDeleteWadau hapo Long Room yuko bwana George Mnyitafu bwana mkuu wa kitengo hiki mwadilifu wa kazi amepanyoosha sana maana jamaa ni msomi sana na ni mtu wa watu na anafuatilia maadili ya kazi.Nashauri kama una swali wasiliana nae atakujibu vizuri sana maana anaijua sana sera ya Kodi na mapato.Nawasilisha
ReplyDelete