
KWA NIABA YA FAMILIA YA BWANA MUSSA OMAR BALOLA NAPENDA KUWA TAARIFU NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KUTAKUWA NA KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU ABDUL HAKIM BALOLA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 09/AUG/2009 SAA TISA MCHANA, MANOR PARK LONDON.
ADDRESS NI HII IFUATAYO
30 STATION ROAD
MANOR PARK,
LONDON
E12 5BT
UKIKWAMA KWENYE UJIO WAKO AU KWA LOLOTE KUHUSIANA NA DUA TAFADHALI PIGA SIMU ZIFUATAZO-
07785297928
07904454609
07828112858
07940168600
MWENYEZI MUNGU AKULAZE PEMA PEPONI NA AWATIE NGUVU WAZAZI WAKO KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
ReplyDeleteinnalillah ...poleni sana ndugu zangu.roho yangu imepata uchungu sana japo siwajui, nilikuwa safari na ndio nimeiona taarifa ya msiba na hii ya dua. poleni sana,
ReplyDeletePoleni sana wafiwa, sisi tulimpenda ila mwenyezi mungu kampenda zaidi. Unajua nilipoona huu msiba nimeshituka sana kwani dogo anaoneka intelligent ila ameondoka bado mdogo sana, hii ni da'awa kwa sisi tuliofika umri huu kuwa sisi si wajanja ila ni mwenyezi mungu ndiye mwenye kupanga nani awe vipi. Hivyo tumche mungu kwa kuwa ametujalia hapa tulipo.
ReplyDeleteNina kijana wangu amezaliwa huku Europe so nina wasi wasi sana na tropical desease maana hajawahi kuumwa hata na mbu ila siku moja ni lazima turudi bongo. So ushauri wangu kwa wale tuliopo nje, tukipata watoto tuwe tunawapeleka Tanzania angalau wayazoee mazingira kuliko kusubiri mtu kawa mkubwa mwili haujajenga kinga za magonjwa tropic kama malaria tutakuwa hatuwatendei haki. Sijui chanzi cha kifo cha Abdul ila nimeisema hii kwa kama mzazi mwenye concern ya watoto kama kina Abdul.
R.I.P Abdul
Maskini, Poleni jamani, naomba kuuliza amefariki na nini huyu mtoto jamani, he is so cute and very sad to have died. Je aliumwa au ni ajali?
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi Amina.