
Assalamu alaykum Ndugu wapendwa,
Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndo huu umewadia, leo ni Shaaban Chungu 15, kama alivyosema Allah (SW) katika Surat Baqarah: - (183, 184, 185) 185. ''Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi".
Basi atayekuwa ameona mwezi naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.''
Basi ndugu zanguni, mtapata kufahamu Zaidi Falsa ya Swaumu kutoka katika DVD ya Ustaadh Kondo J. Bungo itakayokuwa mitaani wiki ijayo Inshaallah.
Usiache kujipatia copy yako ili uweze kuanza kudodosa wewe na familia.
Mpango wakuzisambaza huko majuu unashughulikiwa
Mpango wakuzisambaza huko majuu unashughulikiwa
Kwa Mawasiliano piga
0789 100 000
AU
0713 690 930
Asalaam waaleykum
Ustaadh
SHUKRAN JAZEEERA SHEIK HAYA NDO MABO TUNAYO SUBIRI, NA KWA KWELI BIASHARA NZURI NA ALLAH YAJA, WAJANJA NA WATUMIE FURSA HII KUOMBA MAGHAFIRA KWA ALLAH ILI MFUNGO MOSI INSHAALLAH UFIKE TUKIWA KAMA TUMETOKA KWENYE MATUMBO YA MAMA ZETU YAANI TUKIWA TUMESAMEHEWA MAKOSA YETU, EE MOLA WANGU NIJAALIE NIFIKE HUKO
ReplyDeleteALLAH JAALIA
HAJI LUKAMBA
waalaykum salaam. shukrani kwako kaka michuzi kwa kutuunganisha na watu muhimu kwa maisha yetu ya baadae kama hao..mikoani tutavipataje?
ReplyDeleteASC
ReplyDeleteBlessed MWEZI WA RAMADHANI
surat Al-Baqarah (The cow)
ReplyDeleteInasema
183.O you who believe! Observing As-Saum (the fasting)[35] is prescribed for you as it was prescribed for those before you, that you may become Al-Muttaqûn (the pious - see V.2:2).
184. [Observing Saum (fasts)] for a fixed number of days, but if any of you is ill or on a journey, the same number (should be made up) from other days. And as for those who can fast with difficulty, (e.g. an old man, etc.), they have (a choice either to fast or) to feed a Miskîn (poor person) (for every day). But whoever does good of his own accord, it is better for him. And that you fast, it is better for you if only you know.[36]
185. The month of Ramadân in which was revealed the Qur'ân, a guidance for mankind and clear proofs for the guidance and the criterion (between right and wrong). So whoever of you sights (the crescent on the first night of) the month (of Ramadân i.e. is present at his home), he must observe Saum (fasts) that month, and whoever is ill or on a journey, the same number [of days which one did not observe Saum (fasts) must be made up] from other days. Allâh intends for you ease, and He does not want to make things difficult for you. (He wants that you) must complete the same number (of days), and that you must magnify Allâh [i.e. to say Takbîr (Allâhu-Akbar; Allâh is the Most Great) on seeing the crescent of the months of Ramadân and Shawwâl] for having guided you so that you may be grateful to Him.[37]
Kila lakheli na mwezi mtukufu wa ramadhani. Mfungo mwema
ReplyDeleteRais Kikwete atangaza vita na askari wa usalama barabarani
ReplyDeleteNa Awila Silla, Singida
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza vita dhidi ya askari wa usalama barabarani ili waweze kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za nchi.
Kikwete alitoa kauli hiyo nzito mkoani Singida alipozungumzia kero kubwa ya ajali nchini ambayo alisema inakwamisha juhudi za serikali kuleta maendeleo kwa wananchi.
"Na nyie watu wa usalama barabani manaendekeza urafiki na madereva wa nini badala ya kukagua gari mnazunguka nyuma ya gari na makonda kufanya nini? huku umeona kabisa gari bovu na dereva hana leseni, nawambia, safari hii naanza na nyie," alisema Rais akionyesha ukali
"Msinilazimishe sana niendelee kufoka kila siku wimbo umekuwa huo huo nimechoka jamani , Wizara mnafanya nini fanyeni kazi yenu fukuzeni hawa watu kama hawataki kufuata sheria warudi nyumbani kufua au wakafanye kazi nyingine" alisisitiza .
Mbali ya kauli hiyo nzito pia alisema haoni sababu ya kuendelea kufoka kuhusu baadhi ya matatizo ya ajali na badala yake aliitaka pia Wizara ya Mambo ya Ndani kuchukua hatua mathubuti kutatua matatizo hayo.
Aidha ametaja sababu nyingine kuwa ni pamoja na mashindano ya uendeshaji baina ya magari unaotokana na matajiri wa magari hayo hususani wa mabasi kutaka madereva hao kufika mapema kwenye vituo lengwa kwa kile kinachodaiwa cha kuwapa takrima ama posho nzuri nje ya mshahara anaopata.
Rais Kikwete alisema hayo jana kwenye uzinduzi wa miradi mikuu 3 ya barabara iliyofanyi kwenye eneo la Kititimo yenye urefu wa km 224 ya mikoa ya Singida, Manyara na Arusha (Singida, Babati na Minjingu) iliyoko kwenye mchakato wa ujenzi kwa kiwango cha lami kwa miaka 3.
I PERSONALLY SECOND YOU MR PRESIDENTI KWANI HATUJUI TU LAKINI AJALI ZINAUA TZ KULIKO HATA HIYO MALARIA NA UKIMWI. NDANI YA WIKI 2 TUMEPOTEZA ROHO ZISIZO NA HATIA ZAIDI YA 60 KIUZEMBEUZEMBE TU.
Jamani wale mtaoweza Funga fungeni ki kweli sio mdanganye mko ktk Swaumu wakati tunawaona ktk hotel/restaurants mnakula lunch na wakristo au mnafanya maovu kipindi hiki.
ReplyDeleteMwezi wa ramadhani madada zetu mvae kiheshima.Msituondolee swaumu yetu saa sita.
Mwezi wa Ramadhani wanamiziki mfe njaa msitafute riziki yenu.Ali kiba na wenzako mnasikia hayo.
Mwezi ukiisha Ruksa kuendeleza libeneke la Maovu.
Jazaki llah kheir, mungu atujaalie afya njema na nguvu za kufuata ibada hii, walio nje ya Tz watapataje dvd hizo?
ReplyDeleteRamadhan kareem waislam wote.
Hivi "shahr" ni crescent au "thirty days"?
ReplyDeleteNawaombea waislam wote na binadam wote kila la kheri mwezi huu mtukufu wa ramadhan. Nawakumbusha ndugu jamaa na marafiki kuwa huu ndio wakati wa kuzidisha sala na kusoma quran karim na kukumbuka kuwasaidia wale walio na nafasi chini ya wengine Kuna Quran na tafsiri nzuri kwenye:www.quranexplorer.com
ReplyDeleteAllah yebarik
Wakatabahu
Quite interesting brother, for us Abroad, how can we get it? we'll appreciate having copies down here in NY.
ReplyDeleteInshaallah haya ndo mambo ya kukazia saumu sheikh, Tupe mambo ya kheri. Mikoani zitufikie pia maalim
ReplyDeleteinshaalah Molah atujalie amani tu watu wanaletwa kama waimbaji wanajifanya wakristo ahceni kumkufuru allah jamani,wewe kama ni mwislamuh baki na dini yako bibi.
ReplyDeletek'zoo,concorde,michigan
Assalam alaykum. Ndugu zangu na hasa vijana fungeni jamani. Acheni kusingizia eti mna kisukari, asasi na magonjwa mengine. kumbukeni kuwa kwa kuacha kuifunga siku moja ya ramadhani kwa makusudi ni dhambi kubwa sana. Fanyeni toba na Mola ni mwenye kupokea toba za waja wake.
ReplyDeleteinshalah mwenyezimungu atujlie nguvu na imani katika mwezi huu mtukufu wa ramadhan tuuanze salama na kuumaliza salama,na mwezi huu kwetu waislam ni kipimo cha imanin yetu katika dini,kama una imani na dini yako walah utafurahia mwezi huu na kuupenda na wala hutoona sababu ya kujificha ule au kujisingizia mkristo,wanaofanya hivyo hawana imani,kama kweli una imani mwenyezi mungu atakujalia nguvu na hutoona kama ni kitu kigum,nawatakia waislam wote duniani swaum njema na kila la kheri na swaum zao ziwe ni zenye kukubalika kwa mwenyezimungu
ReplyDeleteWABILLAH TAWGIQ