mpiga picha mwandamizi wa daily news na habarileo mroki mroki a.k.a father kidevu akiongozana na warembo wa Redds Miss Ilala 2009 kwenda kupiga picha walipotembela makao makuu ya magazeti hayo ya serikali.

Fainali za redds miss ilala 2009 zinafanyika Ijumaa hii kwenye viwanja vya Karimjee hall ambapo Globu ya Jamii ikiwa kama mmoja wa wadhamini itatoa zawadi kwa mrembo mwenye mvuto wa picha ama miss photogenic.

Kuanzia kesho hadi Ijumaa hiyo wadau mtaombwa msaada tutani wa kusaidia kuchagua miss photogenic huyo. Hivyo kaeni mkao wa kusaidia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi kwanini tusianzishe photogenic Mama Africa? yaani namaanishi kuwa saizi kubwa sio kila siku mtuwekee mamado wengine ambao wanaacha kula msosi kama vile kande, mihogo, ugali kuogopa kuwa mnene.

    Shindano A, linakuwa kama mamodo kama hao hapo juu.

    Shindano B, mamodo hata kama mamantilie twende tu.

    Maana du, ukila kande, mihogo, ugali sukuma wiki, wali mbuzi, wali-ng'ombe mchicha nk. sidhani unaweza kuhimili wakati wote kuwa kama hao juu.

    ni hayo tu

    P.E.D

    ReplyDelete
  2. Umiss kazi kwelikweli, meno nje hata kama hutaki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...