FFU wa Ngoma Africa band! wakiwa katika makamuzi ya hatari hatari! kwenye onyesho la AFRILU Festival mijin Ludwigshaven,Ujerumani, ambako onyesho hilo la ijumaa ya lililowatia kiwewe washabiki na kukubali kuwa "Bongo Dansi" la FFU wa Ngoma Africa ni virungu vya kimataifa
hakuna kulala

Ras akiongozw rigwaride la FFU



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. vichaa moto wenu bado unaendelea na kutisha! nilidhani kuwa mpo vakasheni?

    ReplyDelete
  2. Hivi hawa FFU wanapiga mtindo gani au ni Reggae,Dansi au nini???,,,Nijulisheni tafadhali.

    ReplyDelete
  3. kwako Anony,
    Ukitaka kusikia mziki wa hawa FFU jaribu kuwasikiliza hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica mziki wao ni wa dansi tena wana nyimbo nzuri tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...