bustani ya forodhani park huko zenji siku hizi mambo ni mswano kabisa baada ya ukarabati sehemu ya kuchezea watoto forodhani
vijia katika bustani ya forodhani
kijani kibichi kimetawaloa kila kona
forodhani inavyoonekana kwa juu. picha na mdau othman mapara





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ..chani kiwiti..

    ReplyDelete
  2. Kweli kijani kinapendeza sana- Sasa Forodhani ina maana hakuna tena wale samaki, chapati, juice ya miwa na vyakula vingine wakati wa jioni?

    ReplyDelete
  3. Wanna get married there. I have very good memories of that place.Just need to find a man first uuuhh.

    ReplyDelete
  4. narudi narudi kutoka mbaalii...

    aisee pako vizuri

    sasa zile misosi za jioni pale zimepelekwa wapi??urojo urojo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...