Adam H. Mrisho has just turned 9 years.
Happy Birthday Adam
Dad & Mom love You
Prof Mrisho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. misupuu we mchokozi unataka wadu waanze fujo"happy besdei ya kuzaliwa??? mhhh

    ReplyDelete
  2. Tumeona Adamu yupo USA ...... haina shaka tumeelewa prof...

    ReplyDelete
  3. kwa nini usiweke bendera ya tanzania? au umeikana nji yako?

    ReplyDelete
  4. we prof, mtoto mpaka leo hajazoea picha? angalia alivyojikakamua na kuganda. walahi watu wa haki za watoto tunaangalia kigezo cha kukushtaki kwa kumshinikiza mwanao!

    ReplyDelete
  5. Picha safi, na Prof. anadokeza kwamba mtoto atakuwa astron...huoni shuttle nyuma ya picha. Happy Birthday kijana. U will make it high. La maana ogopa computer games, zinadororoa ubongo.FirePower, UK

    ReplyDelete
  6. na kitambi tumekiona. tehtehteh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...