Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimlisha keki mkewe Tunu ikiwa ni ishara yakuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Alikuwa kwenye mji Mdogo wa Kibaya wialyaniKiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara leo. Katikati ni Mbunge waViti Maalum, Dollar Mushi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea maua kutoka kwa mkewe Tunu ikiwa nipongezi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake . Alikuwa katika mji mdogo wa Kibayawilayani Kiteto akienelea na ziara yake ya mkoa wa Manyara leo






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. mbona mzee anataka kumkimbia my wife wake anapo pewa ua

    ReplyDelete
  2. Mzee mzima naye wamo!!!! Happy Birthday!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana baba na mama Pinda. Michu mdogo wangu natoa hoja. MH

    ReplyDelete
  4. smile basi mzee! si aibu kupokea maua hayo mazuri kutoka kwa mkeo! boys bwana! wanadhani maua ni wamama tu! i like it. well done mama tunu, you are my hero

    ReplyDelete
  5. Sasa ninyi mnashangaa nini!! Huu utamaduni wenu huu wa kuiga iga sisi huko Ufipani maua wapi na wapi??. NIMEIPENDA SANA HIYO! You have made my day, SAFI...
    Watakutambuaje? ila mpiga picha naye kamvizia VIZURI pale pale .... INAPENDEZA KWA KWELI.

    ReplyDelete
  6. Keep the love flowing! Lakini hiyo second picha ya maua, mbona inaonekana kama karibu kuwe na ugomvi?

    ReplyDelete
  7. Hepi Besidei PM. Umenifurahisha kwa kufurahia besidei yako ukiwa katika vekesheni kwa wananchi. Umenifurahisha zaidi kwa kushangazwa na mkeo kuigilizia utamaduni wa magharibi. Birthday na maua wapi na wapi? Demu wako alikuwa na nia njema lakini kwa mambo ya ziada angesubiri tu jioni mkiwa faragha, hakuna haja ya maua.

    ReplyDelete
  8. kumbukeni huu utamaduni mpya kwetu (utandawazi) na ni kazi kweeeeeli kuvijaribisha ukubwani kama sio uzeeni. mimi ni rika hilo la akina Pinda na nilikwishawakataza kabisa watoto wangu kuhusu kunikumbusha tarehe yangu ya kuzaliwa (ambayo nayo sina uhakika kama ni sahihi!!!). na mke wangu anajua hawezi kuileta hiyo mimaua nikaipokea. sishangai kwa nini Pinda kashangaa!!! usasa mwingine tuwaachie wajukuuuuuuuuuuuuu!!!!

    ReplyDelete
  9. ndiyo birthday sawa lakini mbona mzee pinda hajasema amefikisha umri gani???? au kutoa miaka ya yake ni siri ya serikali pia manake kila kitu huwa tuaambia siri ya serikali.mr pinda whats ur age exctely ur miaka let as know mr pinda.au unaficha wajukuu wasikuitanie,anyway happy birthday to u,happy birthday mizengo pinda,happy birthday to u.how old are u now??????????/ sijuwi nigemalizia. marlesa mussa wa 22 hapa uk.

    ReplyDelete
  10. Ndugu Pinda mbona binadamu huwaogopi lakini maua unayaogopa? kulikoni? Na kule Mpanda unajua tema ukipenda lazima upeleke uwele, sasa mjini hakuna uwele.

    ReplyDelete
  11. Happy Birthday Denzeli wetu!!

    ReplyDelete
  12. the birthday is 12th August 1948; which makes the PM 59.

    ReplyDelete
  13. happy b.day mhishimiwa though ulinuna kuanzia kula keki hadi dhawadi ya maua mdau uanayetaka kujua umri wa mhishimiwa huyu ni kuwa kabla hata ya kuteuliwa kwake kila kitu kiliwekwa wazi sijui mtoto wa mkulima hapendi mlungula umri ulitajwa sanaa tuuu sasa jumlisha toka awe pm hadi sasa utapata umri hicho ni kiji homework vinginevyo ingia gugu tu usachi (google)
    mdau usa blogger

    ReplyDelete
  14. Lete hayo maua wewe!!! hahahaha (picha ya chini)

    HAPPY BIRTHDAY MHESHIMIWA.

    ReplyDelete
  15. Mimi simshangai mh pinda kwa kukataa maua, manake hiyo ´birthday´yake ni ya kubuni tu. Hana uhakika alizaliwa lini!! Hii ni kweli kwa wabongo wengi hatujui siku kamili tulizozaliwa especially wale wa
    miaka ya 70s na kurudi nyuma.

    ReplyDelete
  16. Kwanza kabisa hongera sana mheshimiwa, na pili hata kama mkiponda jamani my wife wa waziri mkuu nywele hizo inakuaje, mama usijisahau sana we mke wa mkubwa bwana, au wadau mnaonaje?

    ReplyDelete
  17. malavidavi.............

    ReplyDelete
  18. Mke wa (PM) waziri mkuu (MP Mizengo Pinda) ni mzuri wajamani. Hana vipodozi wala cha nini lakini wewe mwoneni alivyokuwa "natural". hapa ndio ule msemo usemao "b is beutiful" unaonekana. Mama nakusifia kwa uzuri wako wa kuzaliwa. Anaonyesha utanzania. wangekuwa wengine labda wangependa kujichubua mpaka shavu, lakini mama pamoja na kuwa na kila kitu (at her disposal), hajafanya hivyo. Mungu akuongezee afya tele mama yetu Mama PM (MP).
    Michu mdogo wangu naangusha hoja (MH)

    ReplyDelete
  19. we anon uliyeandika kazaliwa 1948 halafu ana miaka 59 rudi shule kidoooogo.Kama kazaliwa 1948 ten he is 61 not 59...

    ReplyDelete
  20. kwa kweli besdei idia ni gud sana ila mtu wa PROTOCAL wa mheshimiwa ndio namlaumu, unless hii ilitakiwa iwe private fankshen then iko poa, but when you are an PM-MP private inatoweka, so next time nyingine pleaseeeeeee, inabidi watoke ki dressup, kwani snap hii haijatulia, au ndo economiko kraisiss!! au imekaaje mkuu.
    HAPPY BIRTHDAY - you are a LEO by astrology which makes you a born leader

    ReplyDelete
  21. michuzi mbona age umetubania?

    ReplyDelete
  22. Iliuwa ndio siku ya kutangaza ile riport aliyokabidhiwa na CAG.
    HONGERA

    ReplyDelete
  23. Anonymous wa 6:11am, Denzeli wetu ni STEVEN KANUMBA!

    ReplyDelete
  24. Hongera sana mheshimiwa pinda na huyo mai waifu wako inaonekana kwa mpango huo wa muonekano wenu hamna ufisadi wa mali ya uma kabisa yani mnafanya kazi ya taifa kwa roho moja maana hata pamba hamna mpango nazo mungu awabariki sana na muendelee kufanya kazi kwa moyo mmoja wa kujenga taifa letu na sio ufisadi kama wa kina nanihii waliotangulia kwenye kazi hizo....mdau uholanzi

    ReplyDelete
  25. happy birthday mh.pinda.mh!jamani hata kama KUWA NATURAL NI KUZURI SOKATAI BASI HATA NYWELE KUZIWEKA VIZURI NAKO SHIDA?MAMA AMESHINDWA HATA KUSUKA AMA KUSETI JAMANI AKATOKA SMART KICHWANI??AAH KAMA ALIKURUPUSHWA BWANA.MAMA KAMA UNAONA NYWELE ZINAKUTIA WAZIMU SUKA MITINDO INAYOKAA KICHWANI MUDA MREFU NA NYWELE ZAKO ZITAZIDI KUKUA NA UTAUWA SMART TU LOL.MICHU USIBANE ...hii ni special kwa mama pinda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...