Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi taifa (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali muasisi wa TANU na CCM Mzee Omar Selemani Mwenye umri wa miaka 104 aliyelazwa katika hospitali mkoa wa Dodoma.Mzee Omar Selemani ni mweyekiti wa Umoja wa wazee Mkoani Dodoma.Wakati wa harakati za kugombea uhuru wa Tanganyika Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa akifikia nyumbani kwa Mzee Omari Selemani na kufanya shughuli za siasa


Can someone tell this guy to do some real work and stop visiting patients at the hospitals. If he wish for that job he can go to a medical school. People are suffering in this country. His smile and a handshake does not cut it.
ReplyDeleteMungu akulinde mzee wetu, akuongezee miaka 46 TU mbele kisha akutwae.
ReplyDeleteNamwona JK anavyozungumza na ninahisi anaongea hivi:
ReplyDeleteJK: Mzee Omar Shikamoo. Sijui unaendeleaje na afya yako na matibabu hapa?
Mzee Omar: Marhabaaa, kijana, Ninaendelea vema kidogo. Alhamdudlahi. Na wewe, habari za kazi?
JK: Nzuri sana, lakini
Unajua tena mzee mwakani ndio hivyo tena.
Mzee Omar: Nini tena mwanangu?
JK: Si unajua tena miaka minne iliyopita nilisema, "nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya" baada ya kuona askari wa miavuli (mwavuli) iliyopita haikufua dafu?
Mzee Omar: Kwa nini imekuwaje?
JK: Watu wengi ninavyofikiri wameona kama ile misamiati tuliyotumia ya ari mpya (hapakuwepo na ari yoyote); nguvu mpya ilikuwa ni nguvu ya soda, na kasi mpya ilionekana kama gurudumu tu la daladala. Sasa nitumie kiswahili kipi tena?
Mzee Omar: Njoo kesho asubuhi na mapema mwanangu. Pia unipatie pia kiselula chako iwapo nitakuhitaji kabla ya hapo. Si unajua tena mimi na hayati JK tulikuwa mtu na damu, na kila aliloweza kufanya kuwafanya watanzania wapumbazike, mimi ameniachia ile nyota. Niachie hili, nitalifanyia kazi mwanangu.
JK: Asante baba, ukae salama, nakuombea Mungu upone haraka.
Michu mdogo wangu, naomba kutoa hoja (MH)
Sasa mheshiwa anafanya kazi zote ambazo zingefanywa na makamu wa rais, huku hana muda wa kufuatilia masuala mazito ya nchi kama Muungano, Ufisadi, elimu na maendeleo mengine sijui sasa mheshimiwa Shein atafanya nini
ReplyDeleteAnon wa mwanzo huna utu
ReplyDeleteenyi wadanganyika don't expect much from ur leaders .tanzania is poor country and should be forever cause of uswahili no hurry twenda taratibu sie,miiiiiiichu kazi kwako i dont mind either
ReplyDeleteNdugu wa 02:40 hoja yako ni ya kushangaza. Pamoja na mengine yote kiongozi bora ni yule mwenye upendo na utu. Sasa kwa hio hoja uliotoa hapo; sijui kama wewe ukiwa kiongozi matatizo ya wananchi yatakugusa kweli?? Kama unaona Raisi hatakiwi kwenda kumjulia hali huyo mzee hospitali eti afanye kazi muda wote hio kwa maoni yangu haionyeshi utu hata kidogo. Kila jambo lina uzito wake.
ReplyDeleteGreetings, I totally agree with mtoa maoni wa kwanza kabisaa kwenye hii hoja wa tarehe augusti 17, 02:40 yaani wewe unafaa kabisa na umeuliza swali safii sana... sina mengi umeshayaongea yoooote niliyokuwa nataka kuongea..Great point and lala salama..Amina!
ReplyDeletepole sana mzee omar! hope u will get much better soon! I hope Tanzania was Green like your shirt mr president!
ReplyDeleteKampeni zenu za kitoto CHADEMA zinatutia kichefu chefu,sio hapa tu bali mpaka jambo forum na sms zenu mnazosambaza kwa umbea. Sasa Rais kumtembalea mwasisi wa Kitaifa dhambi iko wapi.
ReplyDeleteHeri JK katembelea mzee wetu Hospitali, Je Mbowe anaye uza pombe na kusimamia mapato ya BAA?
Mjiheshimu.Hata marais ni BINADAMU.
Hakuna mtu kasema raisi siyo binadamu, na hakuna anayemkataza kutembelea wagonjwa lakini hiyo siyo kazi pekee aliyochaguliwa kufanya. Mimi naona kila kukicha yuko hospitali au kaenda msibani.Ni nzuri kwa umaarufu wa kuonyesha unajali wananchi lakini hamsaidii mtanzania yeyote. anatakiwa kushughulikia pressing issues eg: maji safi kwa watanzania wote, umeme, matibabu etc. These are basics human needs that most Tanzanias lacks na siku zinavyozidi kwenda ndio jinsi mambo yanavyozidi kuwa mabaya.
ReplyDelete